Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Wagambia!"You cannot be in your offices every day doing nothing... and at the end of the day you expect to be paid"
Huyu anaongelea Wagambia au Watanzania?
"You cannot be in your offices every day doing nothing... and at the end of the day you expect to be paid"
Huyu anaongelea Wagambia au Watanzania?
Ao watanzania wengi wao hata hawamjui uyo Jammeh ni nani kwa hiyo kama Jammeh anawaongelea ao waTZ basi anapoteza muda wake!Watanzania hasa walio serikalini wanaolindwa na ufisadi na sheria mbovu....!!
Watanzania hasa walio serikalini wanaolindwa na ufisadi na sheria mbovu....!!
Kama una shughuli binafsi zinazokufanya uajiri Watanzania ndio utajuwa kuwa si Serikalini tu, ni kote. Kama Gambia ni 82% wavivu nnadiriki kusema Tanzania ni 90% wavivu, wazembe, waongo, wizi - Makazini.

Maendeleo kwa ujumla wake kwa watu wa aina yetu ni ndoto za alinacha, maendeleo watakuwa nayo hao asilimia 10 iliyobaki, wengine watabaki kulalama kutwa kucha.
Ukweli huu hudhihirika kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa ambapo kwenye mida ya kazi idadi ya watu, uanzishwaji wa mada, na uchangiaji wa mada huongezeka kwa kiasi kikubwa sana.
Ikifika mida ya jioni idadi ya vyote hivyo hushuka. Pia Jumamosi na Jumapili ushiriki huwa ni hafifu. Sasa hapo ni wazi kuwa ongezeko la hayo matatu niliyoyataja hutokea watu wakiwa makazini.
Kuiba muda wa kazini na kuutumia kujivinjari JF kulumbana na watu na kutongozana kwenye PM nao ni ufisadi tu.
Mhhhh! NN kumbe huwa unachukua data kwa karibu kabisa na kuangalia jinsi watu wanavyoiba muda wa mwajiri.
Ukweli huu hudhihirika kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa ambapo kwenye mida ya kazi idadi ya watu, uanzishwaji wa mada, na uchangiaji wa mada huongezeka kwa kiasi kikubwa sana.
Ikifika mida ya jioni idadi ya vyote hivyo hushuka. Pia Jumamosi na Jumapili ushiriki huwa ni hafifu. Sasa hapo ni wazi kuwa ongezeko la hayo matatu niliyoyataja hutokea watu wakiwa makazini.
Kuiba muda wa kazini na kuutumia kujivinjari JF kulumbana na watu na kutongozana kwenye PM nao ni ufisadi tu.
"You cannot be in your offices every day doing nothing... and at the end of the day you expect to be paid"
Huyu anaongelea Wagambia au Watanzania?
Watanzania hasa walio serikalini wanaolindwa na ufisadi na sheria mbovu....!!
FF,
This is one of the confused people in Africa. Look well before rallying support on him. He makes big funny but one which makes me laugh whenever his name is mentioned, is his ability to cure AIDS by using banana or something. The guy is a dictator and seriously he is confused.

Ndio kumaanisha hata akibahatika once in a blue moon kusema la kweli apuuzwe?
Unataka kutuambia kuwa wafanyakazi serikalini si wazembeTanzania?