Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,740
- 14,637
Kama wale wanaolalamika kila siku kuwa wanaonewa na wengine?
Bado asubuhi mkuu angalia usiende kazini na nundu
Kama wale wanaolalamika kila siku kuwa wanaonewa na wengine?
Mimi binafsi siwezi kumsikiliza huyu bwana maana ni confused and nina mashaka sana kama anamaanisha anachosema. matendo ndio muhimu kuliko maneno mengi. Well, sifagilii uzembe na kama umeona mesage yangu ya chini inajieleza wazi
Kuchangia kwenye thread hii kunaonyesha umeshamsikiliza tayari.
Alichokisema kina make sense kwa Tanzania na nchi nyingi sana Kama si zote chini ya Jangwa la Sahara. Tunazembea kazini huku tukitaraji maendeleo, haiwezikani
Ukweli huu hudhihirika kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa ambapo kwenye mida ya kazi idadi ya watu, uanzishwaji wa mada, na uchangiaji wa mada huongezeka kwa kiasi kikubwa sana.
Ikifika mida ya jioni idadi ya vyote hivyo hushuka. Pia Jumamosi na Jumapili ushiriki huwa ni hafifu. Sasa hapo ni wazi kuwa ongezeko la hayo matatu niliyoyataja hutokea watu wakiwa makazini.
Kuiba muda wa kazini na kuutumia kujivinjari JF kulumbana na watu na kutongozana kwenye PM nao ni ufisadi tu.
*Nitawafukuza asilimia 82 ya wafanyakazi wote sababu ya uzembe
*Hivi sasa nitakuwa hatari zaidi ya wakati nilipokuwa ninavaa kijeshi
*Nitaibadilisha Gambia kuwa taifa tamalaki (superpower) ndani ya miaka mitano
*Mnaouza mihadarati mtakiona cha moto
Gambia's Yahya Jammeh threatens 'lazy workers'
19 January 2012
View attachment 45762President Jammeh also promised "zero tolerance" on corruption and drugs
Yahya Jammeh has been sworn in for a fourth term as Gambia's president and promised to "wipe out 82%" of workers, accusing them of being lazy.
The former army officer promised to be "even more dangerous than when I was in uniform". He also vowed to turn his tiny West African nation into an "economic superpower" over the next five years.
President Jammeh first seized power in 1994 but was re-elected in December in a widely criticised poll.
"You cannot be in your offices every day doing nothing... and at the end of the day you expect to be paid," he said on a televised address on Wednesday.
"This has to stop. You either do your work or leave or go to jail," the president said.
"I will wipe out almost 82% of those in the workforce in the next five years starting this Friday unless they change their attitudes," he said - without elaborating.
Mr Jammeh also promised "zero tolerance" on corruption and drugs.
The Gambia - a popular destination for foreign tourists - has recently become a key transit point for cocaine trafficked from Latin America.
- BBC
Katika maraisi vilaza Africa huyu ni mmoja wapo. Maneno mengi lakini vitendo zero!