chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,652
- 2,146
CCM mbele Kwa mbele
Wewe ni kama saa mbovu.
Pamoja na uchawa wako hapa umeandika mambo ya maana.
Hivi ndio inapaswa kuwa siku zote,sio kusifia tuu kusikokuwa na faida.
Hata saa mbovu kuna muda inakuwa sahihi.
Kongole sana kwa mchango wako.
Mimi nalia na Mh. Rais.
Madudu yakisemwa, yeye ambaye ana vyombo vyote ambavyo vinaweza kumpatia taarifa sahihi, anapaswa kuchukua hatua kwa kuwafuta kazi na kuhakikisha wanafikishwa mahakamani.

Hana lolote huyoHahahaaa....kumbe ndugu Mkunazi Njiwa "alias" Jumbe Brown mnafahamiana na kamanda Erythrocyte nnje ya Jamii Forum!!??
Asante kwa kielelezoDED alikuwa anaitwa Musa Mgata enzi hizo
Baada ya kufichuka kwamba Watendaji wa Halmashauri ya Mbeya ni wezi na kuthibitika kuwa , wamechepusha mapato ya halmashauri na kugawana wanachochepusha (yaani Pasu pasu) , Nakuomba sana Mh Samia uimurike Halmashauri ya Kyela .
Halmashauri ya Wilaya hii hakuna anayeiamini tena baada ya KUGAWA SOKO LA WILAYA YA KYELA BURE KWA CCM , Soko hilo ambalo ndio lilikuwa Chanzo pekee cha Uhakika cha Mapato ya Halmashauri hiyo limegawiwa katika mazingira ambayo yamegubikwa na giza nene , Wananchi wengi wanaamini kwamba ccm inasingiziwa tu , Wanahisi kwamba soko hilo limemilikishwa kwa baadhi ya Vigogo wa ccm wilayani humo .
Wakati soko hilo inanyang'anywa Halmashauri na kupewa kinachoitwa CCM , Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo aliitwa HUNTER MWAKIFUNA , aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ipinda , Mbunge aliitwa Dkt Harrison Mwakyembe , sikumbuki DED aliyekuwepo .
Kwa ujumla Halmashauri ya Wilaya ya Kyela imekabidhi maeneo yote ya wazi na club za Pombe za kienyeji , ambazo wazee walikuwa wanajiburudisha mida ya jioni kwa ccm , Naweza kuthibitisha kwamba Club cha kienyeji kinachoitwa MKIBHEGE cha kijiji cha Bondeni , eneo la wazi ambalo wananchi walijenga mabanda ya kuuzia UBWALWA imekabidhiwa kwa ccm na wanachukua kodi .
Swali letu ni hili imekuwaje Halmashauri ya Kyela imejinyang'anya mali na kuipa ccm ? Je ni kweli jambo hili au wako Watumishi kama wale wa Mbeya wamejichepushia Mambo haya ili Wajilie Mali ya Umma ?
TUNAKUOMBA MH RAIS UIMULIKE HALMASHAURI HII KWA DARUBINI KALI
Kumbe halmashauri ya Kyela ndiyo halmashauri ya Mbeya! Hebu tulia weka mambo sawa ueleweke.Baada ya kufichuka kwamba Watendaji wa Halmashauri ya Mbeya ni wezi na kuthibitika kuwa , wamechepusha mapato ya halmashauri na kugawana wanachochepusha (yaani Pasu pasu) , Nakuomba sana Mh Samia uimurike Halmashauri ya Kyela .
Halmashauri ya Wilaya hii hakuna anayeiamini tena baada ya KUGAWA SOKO LA WILAYA YA KYELA BURE KWA CCM , Soko hilo ambalo ndio lilikuwa Chanzo pekee cha Uhakika cha Mapato ya Halmashauri hiyo limegawiwa katika mazingira ambayo yamegubikwa na giza nene , Wananchi wengi wanaamini kwamba ccm inasingiziwa tu , Wanahisi kwamba soko hilo limemilikishwa kwa baadhi ya Vigogo wa ccm wilayani humo .
Wakati soko hilo inanyang'anywa Halmashauri na kupewa kinachoitwa CCM , Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo aliitwa HUNTER MWAKIFUNA , aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ipinda , Mbunge aliitwa Dkt Harrison Mwakyembe , sikumbuki DED aliyekuwepo .
Kwa ujumla Halmashauri ya Wilaya ya Kyela imekabidhi maeneo yote ya wazi na club za Pombe za kienyeji , ambazo wazee walikuwa wanajiburudisha mida ya jioni kwa ccm , Naweza kuthibitisha kwamba Club cha kienyeji kinachoitwa MKIBHEGE cha kijiji cha Bondeni , eneo la wazi ambalo wananchi walijenga mabanda ya kuuzia UBWALWA imekabidhiwa kwa ccm na wanachukua kodi .
Swali letu ni hili imekuwaje Halmashauri ya Kyela imejinyang'anya mali na kuipa ccm ? Je ni kweli jambo hili au wako Watumishi kama wale wa Mbeya wamejichepushia Mambo haya ili Wajilie Mali ya Umma ?
TUNAKUOMBA MH RAIS UIMULIKE HALMASHAURI HII KWA DARUBINI KALI
Kila upepo unapovuma kuelekea uelekeo wa kuku alipo,huwa aibu inampata kwani upepo huanika vilivyofichika😂Kila uchafu utaanikwa
Mimi sio chawa,shika hiyo itakusaidia.StupidKuna dogo mmoja kama wewe alikuwa chawa wa mama balaa mkoa fulani,baada ya kuona wanaletwa watu kutoka "visiwani" ilhali yeye yupo na elimu yake nzuri, kaamua kuupiga chini uchawa na sasa anasema ukweli ulivyo.
Achaneni na "kylamba" viatu vya watu ili tu mpate vyeo vijana.
Hata kichaa huwa anakataa kuwa yeye si kichaa.Mimi sio chawa,shika hiyo itakusaidia.Stupid
BoyaHata kichaa huwa anakataa kuwa yeye si kichaa.
Mchawi hawezi kukubali kuwa yeye ni mchawi.
Endelea na uchawa ili upate mkate wako wa kila siku kwa kupungukiwa na akili za kuweza kutumia nguvu zako kupata mkate bila ya kuwa mtumwa.
Hujaelewa wapi ?Kumbe halmashauri ya Kyela ndiyo halmashauri ya Mbeya! Hebu tulia weka mambo sawa ueleweke.
Katikati ya halmashauri za Kyela na Mbeya ipo halmashauri ya Rungwe, hii ni miji mitatu tofauti.Hujaelewa wapi ?
"kylamba" ndiyo kulamba kwa kinyakyusa ghwe! Ndagha fyijo ughwombile.Kuna dogo mmoja kama wewe alikuwa chawa wa mama balaa mkoa fulani,baada ya kuona wanaletwa watu kutoka "visiwani" ilhali yeye yupo na elimu yake nzuri, kaamua kuupiga chini uchawa na sasa anasema ukweli ulivyo.
Achaneni na "kylamba" viatu vya watu ili tu mpate vyeo vijana.
Uzi unahusu halmashauri ya Kyela tuKatikati ya halmashauri za Kyela na Mbeya ipo halmashauri ya Rungwe, hii ni miji mitatu tofauti.
Kama haukujui jua hivyo.