Rais, ichunguzeni Halmashauri ya Kyela

Enhee sawasawa....

Huyo ni Rais wako bwana.....japo unamkosoa kisiasa lakini pale pa umuhimu wake unapaelewa....

Limefika

Ndagha Fijo Tusekelege [emoji120]
 
Uongo wa wazi huo....

Hayajakufikia ya DED na D.C wa Mtwara ?!!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Fanya haraka, mwone Mwambulukusi mfunguwe kesi.
 
Fanya tu, unangoja nini?
 
Rais Wa JMT Amesema Homera Naye Anasema Amekata Watu 40
 
mbona stadium zilizojengwa kwa nguvu za wananchi mikoa yote zilishakabdhiwa
 
Tunadokezwa kwamba Tayari uchunguzi umeanza
 
Wewe ni kama saa mbovu.
Pamoja na uchawa wako hapa umeandika mambo ya maana.
Hivi ndio inapaswa kuwa siku zote,sio kusifia tuu kusikokuwa na faida.

Hata saa mbovu kuna muda inakuwa sahihi.
Kongole sana kwa mchango wako.

Mimi nalia na Mh. Rais.
Madudu yakisemwa, yeye ambaye ana vyombo vyote ambavyo vinaweza kumpatia taarifa sahihi, anapaswa kuchukua hatua kwa kuwafuta kazi na kuhakikisha wanafikishwa mahakamani.
 
Hapo kesi ya nyani anapewa ngedere. CCM ina nguvu kuliko hata huyo unayeshtaki kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…