Rais I an Khama, atangazwa kuwa mfano bora wa maRais duniani

KIGWANYA

Member
Apr 14, 2016
81
103
Hii, imetolewa na united nation world economic and social council. Kwa habari zaidi ingia hapa
Botswana's Ian Khama Announced as World's Best President
hii inasemekana kumpa nafasi kubwa kuwania ukatibu mkuu wa umoja wa mataifa baada ya ban ikiwa yeye mwenyewe atataka.

Mytake;

tungekuwa na ma Rais wengi Africa kama hawa basi tungeendelea sana.

=============

Botswana’s Ian Khama Announced as World’s Best President

The President of Botswana Seretse Khama Ian Khama has been announced as the best President in the world by the United Nations Economic & Social Council during their annual review which was published on August 6, 2016.

A Technical Committee made up of experts from reputable International Civil Service Organisations and Think Tanks adjudged Mr. Ian Khama as the best President during the period under review.

Mr. Ian Khama is tipped as the next UN Secretary General if he wishes to occupy this office.

Many have criticized the credibility of the results as Botswana has been drawn into a lot of
controversies since he took office and is been pressed upon by the main opposition party condemning every single decision taken by Mr. Khama’s office.

The outcome of the report which was based on the Political, Economic and Social indexes of the country and the President topping being the best has been questioned by many.

“I am very honored with such a prestigious recognition. I believe this feat has been achieved through hard work and transparency. I thank the good people of Botswana for creating the enabling environment for me to perform my duties creditably as the President of our dear country”. – Seretse Khama Ian Khama said.

Chanzo: Botswana's Ian Khama Announced as World's Best President
 
Hivi wanajua Ban Ki -Moon anatoka wapi na baada yake ni zamu ya wapi?

Back to the Story Ian Nkhama Senior Bachelor yupo serious kwenye leadership
 
Mie nilishangaa ile safari ya Botswana Magu kutokwenda na kumtuma PM, lile lilikuwa kosa la kiufundi sana aisee, kuhusu kuvunja mikataba ya madini angeenda kwa jamaa akapata uzoefu, lakini pia ajabu ni kuwa mikataba ya Botswana ya Madini imechakatwa na waTanzania........
 
Is this serious. Mkuu hebu tia nyama kidogo
 
Hii, imetolewa na united nation world economic and social council. Kwa habari zaidi ingia hapa
Botswana's Ian Khama Announced as World's Best President
hii inasemekana kumpa nafasi kubwa kuwania ukatibu mkuu wa umoja wa mataifa baada ya ban ikiwa yeye mwenyewe atataka.
Mytake tungekuwa na ma Rais wengi Africa kama hawa basi tungeendelea sana.
Ian Khama anayeongoza Botswana au mwingine? Did you know Botswana kuna inequality na racism ya hali ya juu?
 
Mie nilishangaa ile safari ya Botswana Magu kutokwenda na kumtuma PM, lile lilikuwa kosa la kiufundi sana aisee, kuhusu kuvunja mikataba ya madini angeenda kwa jamaa akapata uzoefu, lakini pia ajabu ni kuwa mikataba ya Botswana ya Madini imechakatwa na waTanzania........
Sifa kuu ya Khama ni kutosafiri nje ya nchi yake yet unataka Magu aende Botswana.

Kama mnataka Magu amuige Khama mkubali Magu kutosafiri nje nchi.
 
Ian khama mama yake alikuwa mzungu huyu ni kama Obama.
hata Tanzania siku tukimpata rais chotara itaendelea.
Kama Jerry Rawling wa Ghana nae ni chotara wa kizungu. Mimi ni mwafrika lakini sijifichi tupo hovyo sana. Cheki Zuma kule, wazungu waliitengeneza nchi vizuri yeye anaiba hela hazina ya serikali mabilioni mengi tu ili kujengea zizi la ng'ombe wake!!
 
Mie nilishangaa ile safari ya Botswana Magu kutokwenda na kumtuma PM, lile lilikuwa kosa la kiufundi sana aisee, kuhusu kuvunja mikataba ya madini angeenda kwa jamaa akapata uzoefu, lakini pia ajabu ni kuwa mikataba ya Botswana ya Madini imechakatwa na waTanzania........
Viwanda vya nyamaza,maziwa wote ni watanzania huko
 
Huyu Rawlings ana tofauti gani na Obasanjo wa Naijeria? Au Kagame wa Rwanda? Maana wote walitwaa madaraka kwa nguvu za kijeshi kabla ya kuingia kwenye siasa za uraiani.

Au tatizo kwako ni rangi, ambayo haina uhusiano wowote na utawala bora!.
Mimi sijaongelea waliingiaje madarakani bali walizifanyia/ wanazifanyia nini nchi zao hao machotara wa kizungu na mwafrika.
 
Mimi sijaongelea waliingiaje madarakani bali walizifanyia/ wanazifanyia nini nchi zao hao machotara wa kizungu na mwafrika.

kama hajaingia kihalali unapata wapi moral outhority ya kumsifia ,
ukiona wazungu wakikusifia jifikirie
 
Back
Top Bottom