Rais Huyu-mwanaume wa Ukweli

Rais Huyu-mwanaume wa Ukweli

Musharaf

Senior Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
186
Reaction score
72
Katoa ahadi zake na vipaumbele. Ni mkakamavu na afya njema tayari kwa kazi. Hapa ni kazi tu.
Issues za JP Magufuli;
1. Umoja wa Taifa
2. Kulinda Muungano wa Tanzania.
3. Ulinzi na usalama
4. Kuheshimu mihimili ya Dola.
5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi
5. Utawala bora
7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani
8. Ataimarisha vyombo vya usalama
9. Vita dhidi ya ubadhirifu
10. Kodi ilipwe na wote
11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda
12. Sekta ya kilimo itaimarishwa
13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda
14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo
15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini
16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi
17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.
18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome
19. Kujenga hostel za mwana vyuo
20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.
21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi
22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara
23. Msongamano Dsm utashughulikiwa
24. Reli itajengwa upya
25. Bandari, anga zitaboreshwa
26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa
27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema
28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa
29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa
30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu
31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko maalum kwa ajili hiyo
32. Reli ya Dar itajengwa
 
Hahahahaa nothing new from CCM. Tuliyasikia tumeyasikia na tutayasikia sana tu.
 
Amezungumza kama mgombea binafsi huku akirudia ahadi za chama chake kwa miaka 50.
Ameomba aaminiwe yeye ila yupo ktk gari lile lile bovu.
Ameshindwa kujipanga,ana mihemko na mbwembwe kana kwamba anaomba ubunge.

Lowassa atosha
 
Notice ameziimba JK miaka yote Kumi, bila mafanikio, sasa anakuja Pombe kwa Scritps izo izo, ila kwa BITI tofauti.. ANATAKIWA ATUAMBIE AKIWA KAMA WAZIRI AMEFANYA NINI KUTEKELEZA YALE YALIYOKUWA KWENYE ILANI ZILIZOPITA.... SIO MANENO MANENO TULIYOYAZOEA YA KINA JK.... CCM USANII MTUPU....AMNA JIPYA
 
Kusema kweli kwa ccm hii ya majungu hili haliwezekani,ngoja wataalam wengine kama nyie,wafanye hiILi katika kuinjenga Tanzania mpya,your plan proved failures let's put contract to other intellectual side Ukawa
 
Katoa ahadi zake na vipaumbele. Ni mkakamavu na afya njema tayari kwa kazi. Hapa ni kazi tu.
Issues za JP Magufuli;
1. Umoja wa Taifa
2. Kulinda Muungano wa Tanzania.
3. Ulinzi na usalama
4. Kuheshimu mihimili ya Dola.
5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi
5. Utawala bora
7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani
8. Ataimarisha vyombo vya usalama
9. Vita dhidi ya ubadhirifu
10. Kodi ilipwe na wote
11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda
12. Sekta ya kilimo itaimarishwa
13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda
14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo
15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini
16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi
17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.
18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome
19. Kujenga hostel za mwana vyuo
20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.
21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi
22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara
23. Msongamano Dsm utashughulikiwa
24. Reli itajengwa upya
25. Bandari, anga zitaboreshwa
26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa
27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema
28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa
29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa
30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu
31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko maalum kwa ajili hiyo
32. Reli ya Dar itajengwa

Kwa miaka 50 bado mnaendelea kutoa ahadi.
 
hv naomba kuuliza takukuru jumapili hawafanyi kazi? maana buku 5 mtaani zimetembea sana na pia UNHCR walikuwa na taarifa kuwa jangwani leo kuligeuzwa refugees camp kwa maana nimesha zoea wakimbizo ndo wanabebwa kwenye malori naomben majibu then cwez kujadili ahadi hewa kama hizo toka mwaka 95 ccm wamekuja na ahadi hizo hizo cjaona ahadi mpya labda kama walisema wanafunzi watafanyia mafunzo kwa vtendo mwezini lakn nje ya hapo nothing new
 
Ilani ni ile ile, mwaka huu wameamua kuanzia chini kwenda juu. Ikifika 2020 wakati wakiomba kurudi madarakani na kuiondoa CHADEMA wataiandika kuanzia katikati kwenda juu na kurudi chn.
 
Ahadi hewa....

Je leo Kigoma ni DUBAI...

Je leo kuna maisha bora kwa kila mtz

Je leo kuna TEMBO kama 2005

Je mikopo ya vyuo unajua ilivyo shida, almost hakunaaa..

Unajua wagonjwa wanalala chini muhimbili hadi leo

Unajua hata dawa shida ktk hosp. za serikali...

Unajua umeme hakuna... ni shidaa

Unajua ESCROW, RICHMOND ya nani..

Unajua Wanyama hai hadi Twiga alipandishwa ndege, haijawahi tokea duniani na kwenda uarabuni...

CCM ni watu wa ahadi hewa.... sera zao ni za maneno tupu.... UTEKELEZAJI NI ZEROOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Tusubirie zenu ninyi UKAWA maana kazi yenu ni kupinga kila kitu. HAPA NI KAZI TUUUU!

Tusubirii zipi Mkuu zaidi ya babu seya na serikali ya mama ntilie na bodaboda (wazee wa viloba)
 
Magufuli John Pombe..

Weka mbali na watoto.
 
Tumaini jipya limekuja....... The tinga tinga! Mafisadi kaeni mbali.... Wale wakwepa kodi wa kaskazini msala kwenu!
 
Back
Top Bottom