mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Lilipo ibuka swala la wizi wa Epa kwanza alikataa na baadae akakubali,lakini hadi leo hii
hakuna action yoyote aliyoichukuwa zidi ya watuhumiwa [Hana maamuzi] Lilipo ibuka swala la Richimond
kwanza alikataa na baadae akakubali,lakini hadi leo hii watuhumiwa bado wako kwenye
siasa wanaendelea kuiba na kula bata [Hana maamuzi]. Lilipokuja swala la rada hapo ndiyo kabisaaa
alimnadi mtuhumiwa kwenye kampeni kuwa ni mtu safi na TAKUKURU wakapigilia msumari wa mwisho
[Hana maamuzi]. Kwenye swala la Dowans kaamua kuwa bubu hadi leo,lakini wapambe wake wanataka
ilipwe very soon huku wananchi wakipinga waziwazi [Na hapa kakosa maamuzi].
Mawazo ya utashi wangu vinadiliki kusema kuwa Rais kikwete HANA MAAMUZI na ameshindwa kujita
mbua na kujisimamia kama Rais wa nchi! Iweje kila kitu yeye anaanza kwa kukataa na baadae ukubali
lakini linapokuja swala la maamuzi yeye huwa bubu na kuingia mitini. Kweli huyu ni Rais?
EPA,RICHIMOND,RADA,KATIBA,DOWANS,MAUWAJI ARUSHA,KUPANDA BEI YA UMEME NA GESI,MGAO WA UMEME nk. Hayo yote hakuna hata moja ambalo amelisimamia na kulimaliza kwa faida ya wananchi wake na kwa chama chake ccm. je! kweli huyu ni Rais? - Nawasilisha