My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Tatizo mmejaa ushamba wa Chato! Kwani Samia ndo Rais wa kwanza Duniani kufanya Royal Tour?Kuna Uzi wangu mrefu kuhusu hiki ulichokiandika hapa nilikuja nao mapema tu Wiki hii na Kuhoji hadi Kushangaa pia, ila kwa Masikitiko makubwa Moderators Wakauunganisha kwasababu wanazozijua Wao ambazo naziheshimu.
Ninakubaliana 100% kwa hizi Hoja zako.
Ujaona utofauti au mfanano kati ya Royal tour na anachofanya mama yetu?Tatizo mmejaa ushamba wa Chato! Kwani Samia ndo Rais wa kwanza Duniani kufanya Royal Tour?
Tatizo mmejaa ushamba na mnaonesha wazi wazi mlivyo washamba
Kwahiyo Wewe kuishi hapo Sinza na Kukazwa na huyo Mgiriki wako ndiyo kuwa na Exposure huko au? Swine...!!!!Tatizo mmejaa ushamba wa Chato! Kwani Samia ndo Rais wa kwanza Duniani kufanya Royal Tour?
Tatizo mmejaa ushamba na mnaonesha wazi wazi mlivyo washamba
Kwanini hutaki kubadilika kifikra? Mudawote wa 2015 ndo Mudawote wa 2021,usiwe mtumwa wa fikra, yaani wewe kila afanyalo kiongozi wa CCM,kwako ni sahihi,ni Kama vile unawaabudu.Jamani tusikalili, muacheni Mama aitangaze Tanzania. Nina uhakika Tanzania itajitangaza kupitia yeye.
Royal tour ya Kagame ilikuwa imejaa Location kibao na filming kama ya Samia?Tatizo ni ushamba wako! Kwa iyo Rais Kagame alivyofanya Royal Tour alifanya kama Diwani??
Kilaza wewe
uhuru wa kuwaza bila kufikiriKwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii.
Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza,ni Taifa mfu,ni Taifa lililokufa,ni taifa jipya kabisa chini ya jua,na halina raslimali zozote na wala kitu chochote,sasa inabidi atoke mkuu wa nchi aifahamishe Dunia kuwa taifa analoongoza lina sehemu za utalii
Wewe mpumbavu,hebu tutolee hapa kichaa chako, unajua Kwanza maana ya Royal fala wewe?Tatizo mmejaa ushamba wa Chato! Kwani Samia ndo Rais wa kwanza Duniani kufanya Royal Tour?
Tatizo mmejaa ushamba na mnaonesha wazi wazi mlivyo washamba