Mkuu,
Nakuhishimu mno na kuhishimu uwepo wako humu barzan, walaakin naomba nikuvunjie adabu kwa kumtia hoyo ulomdhani ati ndo msafi ilhaali umekaririshwa na ile history ya one side of Nyerere,
Kumbuka pana
#The darkness side of hoyo hoyo.
Kisha nitakuhitaji utufanzie mrejezo wako baada ya kupita upande huo pia.
Mkuu,
Nakuhishimu mno na kuhishimu uwepo wako humu barzan, walaakin naomba nikuvunjie adabu kwa kumtia hoyo ulomdhani ati ndo msafi ilhaali umekaririshwa na ile history ya one side of Nyerere,
Kumbuka pana #The darkness side of hoyo hoyo.
Kisha nitakuhitaji utufanzie mrejezo wako baada ya kupita upande huo pia.
Baba akiwa muongo mara nyingi usitaragi mazuri kwa kizazi chake ila kwa msaada wa Mwenyezi Mungu na yule mama ya wana kama kwao kalelewa kwa maadili.
ila kwa msaada wa Mwenyezi Mungu na yule mama ya wana kama kwao kalelewa kwa maadili.