Rais Edgar Lungu wa Zambia ashinda katika uchaguzi

Rais Edgar Lungu wa Zambia ashinda katika uchaguzi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,427
President Edgar Lungu of Zambia has won re-election. The electoral commission said he had secured just over fifty-per cent (50.35%) in Thursday's vote, defeating his main rival, Hakainde Hichilema, who won almost forty-eight per cent (47.67%). Hakainde Hichilema's party has accused the commission of fraud.
 
IMG-20160815-WA0002.jpg
 
Sema uchakachuaji wa matokeo umekamilika sio lungu kashinda!!!
 
Nchi za kusini mwa Africa chama cha upinzani kutangazwa mshindi kwenye chaguzi kuu ni ngumu kama Vatican kumtangaza papa mweusi........
Maneno ya mkosaji, waangalizi wote AU, EU n.k wamesema mambo yalikuwa poa, wewe ni nani mpaka useme utumbo huo? By the way hujui kuwa hiki chama tawala cha sasa kilikuwa cha upinzani?
 
Acha uwongo mbona Chiluba alimshinda Kaunda na Mutharika alimshinda Joyce Banda?? Acha Kabisa wewe
 
Wametumia ile mbinu ya CCM nchi za kiafrika uchaguzi unafanyika kama kiini macho demokrasia hamna kabisa
 
Viongozi wengi wa nchi za afrika siyo chaguo la wapiga kura, bali chaguo la tume ya uchaguzi
 
Chama tawala chini ya rais aliyekuwa madarakani ndugu lungu chashinda uchaguzi mkuu Zambia kwa 50.3%...
 
Teeh teeh Tawala... Alf utegemee kushindwa sehemu chache sana Africa Ndio hukubali matokeo
 
Wametumia ile mbinu ya CCM nchi za kiafrika uchaguzi unafanyika kama kiini macho demokrasia hamna kabisa
Ila ingeshinda UKAWA ungesema Uchaguzi ulikuwa huru na wa haki "sana"????
 
Ni rahisi sana nyangumi kupita kwenye tundu la sindano kuliko mwanasiasa kuingia peponi.
 
Back
Top Bottom