kichwabox
Senior Member
- Feb 14, 2016
- 152
- 40
mh.rais dr.john pombe magufuli tunakuomba uturuhusu watu waliotolewa kwenye payroll warudi kazini maana kosa sio kosa ila kurudia kosa hata sehemu zingine kuna kujisahihisha,mtu aliajiliwa karipoti ila hakuendelea na kazi basi apewe awamu nyingine aje aendelee na kazi.