Rais Donald Trump Avunja Utaratibu!

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Rais wa Marekani Bwana Donald Trump, amevunja utamaduni wa zaidi wa miaka ishirini, ameshindwa kuandaa chakula cha jioni Ikulu kuadhimisha kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadan.

Je Hili ni Katika Kuhalalisha Chuki yake Dhidhi ya Waislamu na Uislamu?

 
Hhahahahaha waislamu idd trump katibua
 
Hata watangulizi wake walikua wanaandaa kinafiki tu. Unaweza kuona maneno na matendi yao vilikua haviendani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…