Rais Donald Trump Avunja Utaratibu!

Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,589
2,000
Rais wa Marekani Bwana Donald Trump, amevunja utamaduni wa zaidi wa miaka ishirini, ameshindwa kuandaa chakula cha jioni Ikulu kuadhimisha kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadan.

Je Hili ni Katika Kuhalalisha Chuki yake Dhidhi ya Waislamu na Uislamu?

19420445_1980374381976970_2733078067800034130_n.jpg
 

Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,589
2,000
Hii ni sawa kabisa Kwa maana sijawahi kusikia mfalme wa Saudia kaandaa tafrija ya Mkesha wa Krisimasi....

Walizoea vya kunyonga sasa trump ni kuchinja tu....

Ila kwa kuwa haimo kwenye katiba ya US basi hakuna utaratibu uliovunjwa

Kwa lugha nzuri ulitakiwa useme kavuja mazoea na cyo utaratibu...
Hhahahahaha waislamu idd trump katibua
 

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,465
2,000
Hata watangulizi wake walikua wanaandaa kinafiki tu. Unaweza kuona maneno na matendi yao vilikua haviendani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom