una fall in love haraka sana.kama binti wa kirangi.kiongozi hajamaliza hata mwaka mmoja wa fedhaJemadari wa vita dhidi ya Mafisadi raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli asafili tena kwa gari kuelekea DODOMA.
Asante sana kwa compliments.una fall in love haraka sana.kama binti wa kirangi.kiongozi hajamaliza hata mwaka mmoja wa fedha
unafananisha gharama za gari na ndege we bwege kweliKweli huo msafara gharama yake ni cheap kuliko ndege?
Hebu tu analyse:
Gharama za mafuta
Wear and tear ya magari (gari kuchakaa)
Gharama za madereva wote wa msafara
Muda atakaopoteza njiani
Muda watakaoupoteza wasafiri wengine from Dar to Dom!
Allowances za watumishi anaosafiri nao (maofisa kadhaa) watakaokaa siku 3 badala ya siku 1 kama wangetumia ndege!
Watu wanashindwa kuelewa.
Akitumia ndege ni gharama zaidi maana kwa vyovyote vile lazima hayo magari yatamfuata aendako ili kumtembeza akishashuka na yanakuwa na madereva tu na walinzi wengine.Sasa ni bora uache ndege upande tu magari kuepuka magari kusafiri yakiwa tupu.
unafananisha gharama za gari na ndege we bwege kweli
Teh teh teh!Habari za Burundi mkuu?vipi amani imerejea huko?Ndio nani?
Hata angepanda ndege lazima hayo magari yangetangulia Dodoma na yangepita njia hiyo hiyo. Think twice mkuu
Kweli huo msafara gharama yake ni cheap kuliko ndege?
Hebu tu analyse:
Gharama za mafuta
Wear and tear ya magari (gari kuchakaa)
Gharama za madereva wote wa msafara
Muda atakaopoteza njiani
Muda watakaoupoteza wasafiri wengine from Dar to Dom!
Allowances za watumishi anaosafiri nao (maofisa kadhaa) watakaokaa siku 3 badala ya siku 1 kama wangetumia ndege!
Kuna mambo kwa kawaida serikali mpya inapoingia au inapoingizwa madarakani kunakuwa na mwendelezo wa maamuzi yaliyokwishafanyika tawala zilizotangulia. Hii ni kitu kinachofanya nchi ingine kuendelea na nchi,kila serikali zenye kufanya mambo kwa matazamo wake zinafanya vituko tu.Sio lazima waamie Dom, huo ulikuwa mtazamo wake, naye Ana haki ya kuamua kuamia au kutokuamia hawezi lazimishwa. Kuna vitu vingi tuu serikali ilidhamiria na havitekelezeki
Raisi haitaji kusafirisha magari, Dodoma yapo!Hata kwa hesabu ya kawaida tu gharama za kutumia ndege ni kubwa mno. Maana anzia nafuta ya ndege kutoka Dar to Dodoma, wasaidizi wake, bila kusahau magari hayohayo yatasafirishwa bila rais kwenda dodoma kwa ajili ya kuyatumia. Je ni ipi cheap?. kumbuka pia matumizi ya mafuta kwenye ndege, maintenance cost ya ndege ni kubwa mno sasa utasemaje kutumia ndege ni gharama?
Ahsante lkn watu wanashtakiwa kwa kutumia maneno yanayohudhi kama hayo!unafananisha gharama za gari na ndege we bwege kweli
Basi sawa!!Hapana