Rais Dkt. Magufuli awasili mkoani Dodoma

Jemadari wa vita dhidi ya Mafisadi raisi wangu mpendwa John Pombe Magufuli asafili tena kwa gari kuelekea DODOMA.
una fall in love haraka sana.kama binti wa kirangi.kiongozi hajamaliza hata mwaka mmoja wa fedha
 
Watu wanashindwa kuelewa.
Akitumia ndege ni gharama zaidi maana kwa vyovyote vile lazima hayo magari yatamfuata aendako ili kumtembeza akishashuka na yanakuwa na madereva tu na walinzi wengine.Sasa ni bora uache ndege upande tu magari kuepuka magari kusafiri yakiwa tupu.
 
MUNGU peke yake ndiye anaweza kumdhibiti JPM naye anajua hivyo ndiyo maana hachoki kutusihi tumwombee. Wanaoamini katika uwezo na mamlaka ya MUNGU liyeziumba mbingu na nchi,vinavyoonekana na visivyoonekana tusiache wala kuchoka kumwombea.
 
Kweli huo msafara gharama yake ni cheap kuliko ndege?
Hebu tu analyse:
Gharama za mafuta
Wear and tear ya magari (gari kuchakaa)
Gharama za madereva wote wa msafara
Muda atakaopoteza njiani
Muda watakaoupoteza wasafiri wengine from Dar to Dom!
Allowances za watumishi anaosafiri nao (maofisa kadhaa) watakaokaa siku 3 badala ya siku 1 kama wangetumia ndege!
unafananisha gharama za gari na ndege we bwege kweli
 
Watu wanashindwa kuelewa.
Akitumia ndege ni gharama zaidi maana kwa vyovyote vile lazima hayo magari yatamfuata aendako ili kumtembeza akishashuka na yanakuwa na madereva tu na walinzi wengine.Sasa ni bora uache ndege upande tu magari kuepuka magari kusafiri yakiwa tupu.

Pia magari atakayotumia ni yale yaliyoko mikoani. Halafu analala ikulu ndogo badala ya kwenye mahoteli ya kifahari. Kweli anayo nia ya kubana matumizi na viongozi wengine ni lazima mjizoeze na hali hiyo kwani hamna jinsi ya kuikwepa zaidi ya kuachia ngazi.
 
Kweli huo msafara gharama yake ni cheap kuliko ndege?
Hebu tu analyse:
Gharama za mafuta
Wear and tear ya magari (gari kuchakaa)
Gharama za madereva wote wa msafara
Muda atakaopoteza njiani
Muda watakaoupoteza wasafiri wengine from Dar to Dom!
Allowances za watumishi anaosafiri nao (maofisa kadhaa) watakaokaa siku 3 badala ya siku 1 kama wangetumia ndege!

Hata kwa hesabu ya kawaida tu gharama za kutumia ndege ni kubwa mno. Maana anzia nafuta ya ndege kutoka Dar to Dodoma, wasaidizi wake, bila kusahau magari hayohayo yatasafirishwa bila rais kwenda dodoma kwa ajili ya kuyatumia. Je ni ipi cheap?. kumbuka pia matumizi ya mafuta kwenye ndege, maintenance cost ya ndege ni kubwa mno sasa utasemaje kutumia ndege ni gharama?
 
kwa ajili ya mei mosi na shuhuli nyingine za serikali,ningefurahi sana kama angeongelea swala la Lugumi.Kuhusu lowassa mwacheni jamani na ndio maana hata siku moja hujasikia raisi anamuongelea na huo ndio ustaarabu kila mtu afanye mambo yake sehemu yake
 
Sio lazima waamie Dom, huo ulikuwa mtazamo wake, naye Ana haki ya kuamua kuamia au kutokuamia hawezi lazimishwa. Kuna vitu vingi tuu serikali ilidhamiria na havitekelezeki
Kuna mambo kwa kawaida serikali mpya inapoingia au inapoingizwa madarakani kunakuwa na mwendelezo wa maamuzi yaliyokwishafanyika tawala zilizotangulia. Hii ni kitu kinachofanya nchi ingine kuendelea na nchi,kila serikali zenye kufanya mambo kwa matazamo wake zinafanya vituko tu.
Ni vizuri pia atoe Tamko kuwa Serikali ya Magu haina mpango wa kuhamia Dodoma ili wadanganyika tujue. Na kama kutokuhama ni msimamo wake, arudishe bunge na ofisi za bunge Dar.

Huu "utanzania" wa bunge na serikali kuwa miji tofauti sijui kama unapatikana nchi zingine.
 
Hata kwa hesabu ya kawaida tu gharama za kutumia ndege ni kubwa mno. Maana anzia nafuta ya ndege kutoka Dar to Dodoma, wasaidizi wake, bila kusahau magari hayohayo yatasafirishwa bila rais kwenda dodoma kwa ajili ya kuyatumia. Je ni ipi cheap?. kumbuka pia matumizi ya mafuta kwenye ndege, maintenance cost ya ndege ni kubwa mno sasa utasemaje kutumia ndege ni gharama?
Raisi haitaji kusafirisha magari, Dodoma yapo!
Huo msafara kwa hii picha unaona kuna gari 9 hapo hujui nyuma zipo ngapi!
Nadhani ni btn gari 15-20
Wanaosafiri hapo hawana haja ya wote kuja na magari, lkn ndege ya raisi ipo, sasa ina kazi gani?
 
Back
Top Bottom