Rais Dkt Magufuli aota urais wa Mbinguni

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
"Nataka ikiwezekana niwe raisi wa malaika mbinguni"

Nimependa sana ndoto hii ya Mheshimiwa Rais wangu,
It can be, play your extra harder part Mr President.

God bless you.
 
Kama kaongea kweli basi wapambe wake wamlazimishe kusoma hotuba...
kabla hajaongea kitu very embarrassing...

Kamuulize Jaji Mkuu OTHMAN CHANDE, Kama hakusikia.

Lakini tatizo liko wapi?
"UFALME WA MBINGUNI UTAPIGANIWA, NA WENYE NGUVU, WATAUTEKA", Bible.

President has right dream.
 
Kamuulize Jaji Mkuu OTHMAN CHANDE, Kama hakusikia.

Lakini tatizo liko wapi?
"UFALME WA MBINGUNI UTAPIGANIWA, NA WENYE NGUVU, WATAUTEKA", Bible.

President has right dream.

very interesting ..
 
Kama kaongea kweli basi wapambe wake wamlazimishe kusoma hotuba...
kabla hajaongea kitu very embarrassing...
Kitu gani kilikuwa embarrassing?!?!? Of course wa design ya kusoma wapo na anayoyasoma wala hayatoki moyoni ndio maana hata utekelezaji ni Zero!
 
Kuna shida katka kauli hii kuliko tudhaiavyo

Kwa sisi wakristo malaika ni nani?
Nan rais wao kwa sasa ni nan??
Anataka cheo cha Gabrieli?
Au Mungu mwenyewe??
 
Back
Top Bottom