Mwalimu alisema hivyo kutokana na mazingira ya wakati huo, ambayo ni historia kwa sasa. Hatuwezi kuishi Kwa historia. History only tells you where you are coming from but not where you are going.
Pia nyerere alisema mabadiliko yasipopatikana ndani ya ccm wananchi watayatafuta nje ya ccm...
Na issue si lowasa issue ni ccm...wananchi walio wengi wameuchoka mfumo dume wa ccm...
So wanataka mabadiliko kupitia chama ambacho wanaamini hakina mfumo dume...
Philosophy inasema we differ in choices so usimlazimishe mtu au raia afanye kile ukitakacho wewe eti kisa wewe unakiona icho kitu ni bora...watanzania wenzangu tufanye maamuzi tunayohisi ni sahihi kutoka ndani ya mioyo yetu na si kwa ushabiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.