Rais bora hawezi kutoka nje ya CCM

Rais bora hawezi kutoka nje ya CCM

soma maandishi ukutani kwa wakati huo ilikuwa sawa kwa mazingira ya sasa ni ngumu
 
rais bora ni ndani ya ccm,mchakamchaka wa maendeleo ni ndan magufuli na ni ndani ya wabunge na madiwani wa ccm.
 
Mpaka nyeyere afufuke aje abadilishe kauli yake kuhusu lowassa ndo ntampa kura yangu

Kweli kabisa mkuu usibadilishe msimamo maana sisi wana ccm tunaamini Nyerere ndo mungu wetu na hata mawazo yetu yako hivyo
 
Mimi kama Mtz ninakila sababu ya kujivuni umasikini ambao tumepewa kama tunu ya taifa na hata wazungu wakija beba rasmali zetu roho haitaniuma.
 
Mimi kama Mtz ninakila sababu ya kujivuni umasikini ambao tumepewa kama tunu ya taifa na hata wazungu wakija beba rasmali zetu roho haitaniuma.CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee more than 50yrs now
 
Magufuli the nyerere jr


attachment.php
 

Attachments

  • 0a.jpg
    0a.jpg
    238 KB · Views: 88
rais bora ndani ya ccm anakuja.huyu ni yule mwadilifu,mchapakazi,anajua shida za watanzania.TANZANIA nyingine ndani ya magufuli inakuja.chagua magufuli hapa kaz tuu.
 
Mawazo mengne jaman yaan hayahtaj hats elm za darasa LA 3 kwan kunampinzan ambae hakuwa ccm
 
Back
Top Bottom