Mwezi uliopita ungemtabiria utaenda jela wwe angekupiga risasi kuwa hizo ni ndoto.Yupo gereza lile lile alilowafungia wanaomkosoa.Yote hii ni Mungu anampa fundisho.Dunia inaendeshwa na nguvu ya misingi ukiikosea ni lzm ikuadhibu. Maisha ni upepo sio hesabu ,ukidhani una kinga jiulize mara Tatu Tatu.Hao hao wakulindao ndio watakulinda ukiwa mfungwa jela kwa matumizi mabaya ya Madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma,upotevu wa watu na wwe kimya ujachukua hatua siku zaja, hata ukiwa na mkongojo ni lzm uvune ulichopanda.Hela zake alizo jaza chumba kwa kuwaibia wananchi na kuzitumia kwa wasiojulikana zimeshindwa kumsaidia zimetaifishwa.ICC wanamtaka akajibu mauaji ya wasudan kusini kwa kuwafadhili janjaweed.Viongozi wa kiafrica huelewa wakiwa wamechelewa.Angesoma alama za nyakati angebaki Salama.