Rais asiye na makuu?

Mwenye chuki na husuda hana sababu, hata umfanyie jema chuki yake iko pale pale.
 
Tuko pamoja kama nje alipaki boxer 150 au alipigania daladala kama kaja na ile mi-benz yake tena inawezekana kutoka magogoni mpaka muhimbili kajiandikia posho basi ni yuleyule.
 
Aa wapi, umeona hilo benchi la nyuma?

Bwana asipoulinda mji waulindao wakesha bure@@@@:argue::argue::argue::argue::argue::argue::argue::typing::typing::typing::typing::typing:
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni Mkuu kwa hili anajitahidi sana
 
Juzi kahudhuria misiba miwili kwa Siku moja, ule wa Luteni wa jeshi na Mzee Small ikabidi nijiulize, ina maana Huyu jamaa hakua hata na appointment mojA Siku hio?
 
Juzi kahudhuria misiba miwili kwa Siku moja, ule wa Luteni wa jeshi na Mzee Small ikabidi nijiulize, ina maana Huyu jamaa hakua hata na appointment mojA Siku hio?

maswali yalikua mengi sana
 
naona mashushushu yalivyotuna nguo zao hapo
 
Et hana makuu! huh!,na rais wa Uruguay utasemaje wewe kubwajinga?
Aliyemtesa Dr ni Ramadhan Ighondu.
 
Juzi kahudhuria misiba miwili kwa Siku moja, ule wa Luteni wa jeshi na Mzee Small ikabidi nijiulize, ina maana Huyu jamaa hakua hata na appointment mojA Siku hio?

Mtu wa watu huyo Mh.Kikwete, mwacheni!! Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
Akiwa na appointment nje ya nchi, MWAMSEMA, 'asipokuwa' na appointment, MWAMSEMA.
Kikwete JEMBE.
 
Kujibu swali lako: Kikwete ni Rais mwenye makuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…