what special in this? ulitaka akae kiti cha mbele? ulitaka aje na viti kutoka ikulu? In this case Mheshimiwa zaidi ni marehemu ambaye atawekwa mbele zaidi. Angekuwa hana makuu basi angekuja peke yake, mbona comandoo nyuma na milingoni polisi kibao? Inatakiwa akiwa kwenye nyumba za ibada awe huru na mpole zaidi ya hapo...
Hakuna cha kumfanya aonekane hana makuu hapo, cha msingi sisi watanzania hatuna makuu. Otherwise alituchotufanyia kwa miaka hii 8 alitakiwa awe anavaa vizuia risasi muda wote
Safi mr President,mama Zito amezikwa bila ya kuwepo viongozi wake ambao walifanya kazi pamoja kwa muda mrefu kujenga chama,na pia marehemu ni mama wa aliyepata kuwa kiongozi wa chama,uhasama wa kisiasa tunapeleka hadi misibani...siasa za kibongo bhana majungu tupu..
Hii Nimeipenda sana wadau
View attachment 163413
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakijumuika na waombolezaji wengine katika Kanisa la Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Ernesti B. Ngereza, aliyekuwa mfanyakazi wa Ikulu aliyefariki dunia Mei 5, 2014, kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda nyumbani kwa marehemu Lushoto, Mkoani Tanga Ijumaa Mei 6, 2014.
Safi mr President,mama Zito amezikwa bila ya kuwepo viongozi wake ambao walifanya kazi pamoja kwa muda mrefu kujenga chama,na pia marehemu ni mama wa aliyepata kuwa kiongozi wa chama,uhasama wa kisiasa tunapeleka hadi misibani...siasa za kibongo bhana majungu tupu..
Mfanyakazi wa IKULU? Hawa si ndio wale waliomteka na kumtesa Dr. Ulimboka? Anyway R.I.P Mfanyakazi wa IKULU:wave: