CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,115
- 5,403
Nchimbi hajapinga ila ameomba kama ikiwezekana waziri awaachie, anakubaliana na ukamataji huo ila anawaombea msamaha! Jambo ambalo Chadema hawatalikubali.View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.
Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.
Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.
Sote ni mashahidi. Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faidi zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan
Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.
Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Awaombee msamaha kwa kosa gani walilofanya? Labda awaombee polisi msamaha kwa Rais kwa kuchafua taswira ya nchi kwa kufanya uhuni waliofanya.Nchimbi hajapinga ila ameomba kama ikiwezekana waziri awaachie, anakubaliana na ukamataji huo ila anawaombea msamaha! Jambo ambalo Chadema hawatalikubali.
Onesha kosa la Rais hapo sasanchi hii haitaendelea kwasababu ya machawa
"anawaombea msamaha! Jambo ambalo Chadema hawatalikubali"! Chadema hawajafanya kosa, sasa Nchimbi anawaombea msamaha wa kosa gani!Awaombee msamaha kwa kosa gani walilofanya? Labda awaombee polisi msamaha kwa Rais kwa kuchafua taswira ya nchi kwa kufanya uhuni waliofanya.
unajua maana na kazi za amiri jeshi mkuu?Onesha kosa la Rais hapo sasa
CHADEMA wao ni akina nani?"anawaombea msamaha! Jambo ambalo Chadema hawatalikubali".
Ukiona kobe yupo juu ya mti ujue amepandishwa. Mteule wa rais anafanya kile anacho kiona aliye mteua atakifuhia, hizo 4R ni msimo tu kam ule wa maisha bora kwa kila Mtanzani je watanzia walipta maisha Bora. Kwa hiyo hii misemo wala isikuzibe macho wewe angalia matendo.View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.
Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.
Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.
Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.
Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.
Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Msimuhusishe Rais na mambo yenu hayo ya kutunishiana misuliUkiona kobe yupo juu ya mti ujue amepandishwa. Mteule wa rais anafanya kile anacho kiona aliye mteua atakifuhia, hizo 4R ni msimo tu kam ule wa maisha bora kwa kila Mtanzani je watanzia walipta maisha Bora. Kwa hiyo hii misemo wala isikuzibe macho wewe angalia matendo.
Ni yeyeView attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.
Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.
Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.
Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.
Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.
Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
Umesoma vizuri nilichokiandika?unajua maana na kazi za amiri jeshi mkuu?
unajua maana ya uwajibikaji wa pamoja?
unajua kwamba pale ikulu asubuhi huwa panafanyika breafing ya matukio yote ya kiusalama yaliyotokea na yanayotegemea kutokea?
je hili kwa akili yako raisi hajajulishwa kabla na baada?
IGP anawajibika kwa nani?
wakati mwingine tuache uchawa jamani nchi yetu sote hii
The buck stop with her. They arrest in the name of the government which she is it's head. They all owe their loyalty to her. How can you absolve her of their crime?View attachment 3068493
Rais Samia Suluhu Hassan asihusishwe na kamata kamata zinazoendelea ndani ya CHADEMA.
Rais ambae pia ndie amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchi anafanya kazi kwa commanding chain | authorities sio na kila kiongozi wa jeshi.
Ukiona IGP au CDF katoa statement hiyo ni likely inatambulika kwa Rais zaidi ya hapo huo ni utashi wa watu binafsi na hayo wanayoyafanya hayana baraka za Rais wala wasaidizi wake.
Sote ni mashahidi, Rais Samia hajawahi kuzikana zile 4R zake popote hivyo anayefanya kinyume na hizi R za Rais huyo anafanya kwa utashi na faida zake binafsi sio kwa faida ya Taifa analoliongozi Rais Samia Suluhu Hassan lenye maelewano,Utulivu, Umoja na mshikamano.
Ndio maana GS wa Chama Cha Mapinduzi CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiwa kama msaidizi wa Rais kwenye kwenye maswala ya siasa amepinga jambo hili hadharani.
Huwa nasema wakati wote Tanzania itatuchukua miaka mingí kumpata kiongozi kama Rais Samia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Samia.
unajua ulichoandikaUmesoma vizuri nilichokiandika?
Anasifiwa kwa mambo ambayo serikali yake haijayafanya, lakini asilaumiwe kwa mambo ambayo serikali yake imefanya kupitia jeshi la polisi. Ma-zuzu tu ndio hufanya hivyo.View attachment 3068493