Rais asema fedha si tatizo kuhamia Dodoma

Tenda wema nenda zako mheshimiwa Magufuli binadamu hawana shukrani hawakumbuki Serikali ilivyokuwa taabani kwa kila kitu lakini kwa sasa mambo yanaenda vizuri kwa muda huu mfupi uliokaa madarakani.
 
Kama hayo mapesa ya kuhamia Dodoma yapo, angemalizia tu barabara zilizosalia ili mikoa yote iunganishwe kwa lami maana sababu za wakati ule za kuhamia Dodoma zimepungua.

Vv
 
Tenda wema nenda zako mheshimiwa Magufuli binadamu hawana shukrani hawakumbuki Serikali ilivyokuwa taabani kwa kila kitu lakini kwa sasa mambo yanaenda vizuri kwa muda huu mfupi uliokaa madarakani.
Orodhesha mambo Matano yanayoenda vizuri,je?yamekufaidishaje wewe,,yamemfaidishaje Yule mtoto anaeenda peku Shuleni,yamefaidishaje mfumo WA Afya nchini, kwa ujumla wake Orodhesha ni nini alichomfanyia mtz mnyonge Mpaka sasa.
Zingatia:bei ya sukari
Utitiri wa kodi
Uhaba wa Chanjo
Kukosekana kwa Ajira.
 
Fedha zipo lakini kuwapa wanafunzi fedha za kujikimu ,kulipa madeni ya watumishi na kuwapa vijana ajira ni ngumu.kumtumikia mlala hoi imeshindikana!

Wasomi wa Leo mna ubinafsi sana. Yes mnahitaji pesa za field. But is that priority for the whole country? Mbona hujaongelea watoto wanaokaa chini bila madawati? Walimu na matabibu wanaocheleweshewa mishahara na sta hiki zao? Wagonjwa maelfu wanaokosa tiba hospitali? Jamani changamoto in nyingi. Tuamke tuache hii tabia ya business as usual.

Tunaweza kumhukumu Magufuli tupendavyo lakini the man is trying. Hili la kuhamia Dodoma lipo tangu1973! Leo tunamlaumu eti anakurupuka after 43 years!

Matatizo mengi ya watanzania yanasababishwa na kutojali na kutaka kufanya mambo kwa mazoea. We should move out of our comfort zones. Tune na mtizamo chanya. Si kila kitu in kibaya.

I support Magufuli.
 
Kitovu mtoto anapozaliwa uwa katikati.
Tanzania mpya imezaliwa. (ushaidi :-eclipse iliyotokea kitambo kidogo).
 
Hili la kuhamia Dodoma, kama mzalendo lazima uliunge mkono.
 
Hiyo pesa ya mafisadi ataitegemea mpaka lini!?

Mafisadi wakishatumbuliwa, what's the plan B!!? Nchi inaonekana kama vile inaendeshwa hand to mouth. Pesa ikipatikana hapa inapelekwa kule. Bajeti ni kiingereza macho tu!!!
 
Kwahiyo katika miaka yote ya uwepo wa Tanganyika na baadaye Tanzania nchi haikuwa katika usalama? Miji mikuu mingapi duniani inazungukwa na bahari?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Elimu bure mbona watoto wanapata elimu isiyo na viwango? walimu hawana maboresho kwenye mishahara yao, kuna watu wanafikiria kuwatowa watoto wao kwenye mfumo wa elimu bure.
 
Pesa sio tatizo lakini kuwalipa wanafunzi fedha za field ni tatizo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ushahidi unazidi kuongezeka huyu DU akili yake haiko sawa. Anataka kujenga hotel Dar wakati anasikia kuhusu mahoteli chungu nzima kufungwa na mengine kufanywa hostel. Anajua hata kinachoendelea nchini kuhusu mahoteli hadi atoe kauli ya kujenga hotels za kitalii Dar!?

..kuna maeneo ktk bajeti itabidi akate ili kufanikisha nia yake ya kuhamia Dodoma.

..nchi inayotegemea misaada kama Tz haitakiwa kujiingiza ktk miradi kama huu wa kuhamisha serikali pasipo na ulazima.
 
Wasomi wa Leo mna ubinafsi sana. Yes mnahitaji pesa za field. But is that priority for the whole country? Mbona hujaongelea watoto wanaokaa chini bila madawati? Walimu na matabibu wanaocheleweshewa mishahara na sta hiki zao? Wagonjwa maelfu wanaokosa tiba hospitali? Jamani changamoto in nyingi. Tuamke tuache hii tabia ya business as usual.

Tunaweza kumhukumu Magufuli tupendavyo lakini the man is trying. Hili la kuhamia Dodoma lipo tangu1973! Leo tunamlaumu eti anakurupuka after 43 years!

Matatizo mengi ya watanzania yanasababishwa na kutojali na kutaka kufanya mambo kwa mazoea. We should move out of our comfort zones. Tune na mtizamo chanya. Si kila kitu in kibaya.

I support Magufuli.
nafikiri pesa za field ni mikopo ya wanafunzi na wameingia mkataba na heslb hivyo ni haki yao kisheria kabisa kupewa kwa wakati mkuu
 
Miji mikuu mingi ipo pembezoni mwa bahari...!!

Aseme ajenda ya dodoma imebebwa na nini??
Hivi kuwa pembezoni mwa bahari haiwezi pia kuwa na advantage kiusalama? Mimi pia bado sijaielewa hasa ajenda ya kuhamia Dodoma wakati huu wa utandawazi. Nyerere hoja yake ilikuwa kuwa na mji mkuu katikati ya nchi ingeweza kurahisisha maendeleo katika mikoa mingine. Katika hali ya kawaida kwa hoja ile basi Nyerere angeharakisha kupeleka makao makuu Dodoma. Lakini ninachoamini ni kwamba kwa kuwa Nyerere alikuwa kiona mbali baadaye alikuja kubaini haikuwa "big deal" kuhamia Dodoma hivyo akapiga kimya...Sasa tunataka kuanza kuhangaika kuhamia Dodoma wakati huu ambao dunia imekuwa kijiji? Haiwezi kuwa ni kuingia gharama na kuathiri uchumi wa nchi bila sababu za msingi?
 
kiusalama makao makuu hayatakiwi kuwa pembezoni mwa bahari...ni rahisi kutekwa na adui...Kuhamia Dodoma kuna faida nyingi kiuchumi kwa mikoa ya jirani....Magufuli yuko sahihi kabisa...
 
Baharini hakuna ulinzi? Kwahiyo anahofia kutekwa? Mikoa mingine ambayo haitakuwa jirani inatazamwaje kwenye huu mpango kama hoja ni hiyo?
 
Orodhesha mambo Matano yanayoenda vizuri,je?yamekufaidishaje wewe,,yamemfaidishaje Yule mtoto anaeenda peku Shuleni,yamefaidishaje mfumo WA Afya nchini, kwa ujumla wake Orodhesha ni nini alichomfanyia mtz mnyonge Mpaka sasa.
Zingatia:bei ya sukari
Utitiri wa kodi
Uhaba wa Chanjo
Kukosekana kwa Ajira.
Kazi yenu ni kuona mabaya tu...
 
Back
Top Bottom