Boflo JF-Expert Member Jan 20, 2010 4,384 4,409 Apr 29, 2010 #1 Wadau.. hivi katika Afrika ni Rais gani anayeongoza kusafiri nje ya nchi???
M MzeePunch JF-Expert Member Jun 8, 2009 1,412 203 Apr 29, 2010 #5 Marais wawili ambao hawatulii sana nchini mwao ni Jakaya Kikwete wa Tanzania na Robert Mugabe wa Zimbabwe (wenyewe humuita Vasco da Gama.)
Marais wawili ambao hawatulii sana nchini mwao ni Jakaya Kikwete wa Tanzania na Robert Mugabe wa Zimbabwe (wenyewe humuita Vasco da Gama.)
Msanii Platinum Member Jul 4, 2007 22,660 29,836 Apr 29, 2010 #6 Preta said: Obama I think Click to expand... unahitaji twishen bila shaka. isije ukadhani tony blair ni rais wa tunisia bureee
Preta said: Obama I think Click to expand... unahitaji twishen bila shaka. isije ukadhani tony blair ni rais wa tunisia bureee
Kiby JF-Expert Member Nov 16, 2009 6,902 4,626 Apr 29, 2010 #7 Msanii said: unahitaji twishen bila shaka. isije ukadhani tony blair ni rais wa tunisia bureee Click to expand... . Mie nadhani Nyerere anaesafiri kuliko nyerere wote Africa ni Jeikei. Huyu jamaa ni nyerere wetu wa mambo ya nje.
Msanii said: unahitaji twishen bila shaka. isije ukadhani tony blair ni rais wa tunisia bureee Click to expand... . Mie nadhani Nyerere anaesafiri kuliko nyerere wote Africa ni Jeikei. Huyu jamaa ni nyerere wetu wa mambo ya nje.
J Jasusi JF-Expert Member May 5, 2006 11,552 5,436 Apr 29, 2010 #8 Boflo said: Wadau.. hivi katika Afrika ni Rais gani anayeongoza kusafiri nje ya nchi??? Click to expand... Mimi nilidhani ushafanya utafiti sasa unakuja kumwaga data kumbe unatafuta msaada wa ze dataz?
Boflo said: Wadau.. hivi katika Afrika ni Rais gani anayeongoza kusafiri nje ya nchi??? Click to expand... Mimi nilidhani ushafanya utafiti sasa unakuja kumwaga data kumbe unatafuta msaada wa ze dataz?
Fixed Point JF-Expert Member Sep 30, 2009 11,304 12,744 Apr 29, 2010 #9 Preta said: Obama I think Click to expand... Hivi Obama ni rais wa nchi gani ya Africa?
Fixed Point JF-Expert Member Sep 30, 2009 11,304 12,744 Apr 29, 2010 #10 Msanii said: unahitaji twishen bila shaka. isije ukadhani tony blair ni rais wa tunisia bureee Click to expand... Mi nilidhani nipo offline, nikaanza kujiuliza kama Obama keshapewa nchi ya kuiongoza Africa
Msanii said: unahitaji twishen bila shaka. isije ukadhani tony blair ni rais wa tunisia bureee Click to expand... Mi nilidhani nipo offline, nikaanza kujiuliza kama Obama keshapewa nchi ya kuiongoza Africa
A Audax JF-Expert Member Mar 4, 2009 442 12 Apr 29, 2010 #11 jamani hadi obama amehamia africa cku hizi
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Apr 29, 2010 #12 Fixed Point said: Hivi Obama ni rais wa nchi gani ya Africa? Click to expand... Guinea Bissau
Fixed Point JF-Expert Member Sep 30, 2009 11,304 12,744 Apr 29, 2010 #13 Preta said: Guinea Bissau Click to expand... ha haaaaaaaaaaaaaaa, Preta bwana................. thanx kwa kunikumbusha, nilisahau!!!!!!!!!!!!
Preta said: Guinea Bissau Click to expand... ha haaaaaaaaaaaaaaa, Preta bwana................. thanx kwa kunikumbusha, nilisahau!!!!!!!!!!!!