Rais anapounga mkono 'Mgomo' katika nchi anayoiongoza inatupa picha gani

Rais kwanza angewawajibisha waliopanga bei elekezi ya chini .kama korosho zipaswa kuuzwa kwa tsh 5,000/=+ sababu gani bei elekezi iwe 1550/=.pengene angetumbua hawa ujumbe ungekua imara zaidi.
Unaijua BEI dira ya mwaka Jana?

Na unajua kwa nini BEI dira inapangwa?
 
Unaijua BEI dira ya mwaka Jana?

Na unajua kwa nini BEI dira inapangwa?
NAJUA.na ndo maana inashangashaza kuwatumia mabalozi wetu leo vetnam na india kutafiti bei wakati bei imepangwa.
lakini bei dira wala haitoi picha yoyote in relation kwa bei ya soko dunia wala gharama za uzalishaji wa mkulima wa tanzania.
kama ingeshabihiana na gharama za uzalishaji wa mkulima angeuza 1550/= hadi 2715/= kwa nini mkulima akatae na viongozi wetu pendwa waunge mkono.
bei elekezi mwaka jana 1400/=mnada 3950/=+
mwaka juzi 1300/=mnada 1800/=
Bei elekezi inawezekana zinapangwa kulingana na uzalishaji wa kwenye makaratasi au kituo cha naliendele si wastani halisi wa mavuno ya mkulima kwa mkorosho(wa mtwara,lindi,pwani,au tuduru ) vs gharama .na kwa sbabu hii mkulima bado anaona hasara bei ya 2700/=+
 
Back
Top Bottom