Rais anapopewa kichapo cha mwizi!

Rais anapopewa kichapo cha mwizi!

mpayukaji

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
940
Reaction score
349


thumbnail.aspx


_60384398_014813584.jpg


Habari tulizo nazo ni kwamba rais wa muda nchini Mali,

Diancounda Traore, pichani amelazwa baada ya kupata kipigo toka kwa wananchi wenye hasira wanaopinga uteuzi wake. Mali iliingia kwenye mtafaruku baada ya rais wa zamani Amadou Toumani Toure kupinduliwa na Kapteni Amadou Haya Sanogo ambaye alirejesha madarakani kwa umma baada ya wiki tatu za kukaa madarakani. Baada ya hapo spika wa bunge wa wakati ule aliapishwa kuwa rais wa muda. Hajakaa hata miezi miwili ashapewa kipigo n waandamanaji! Je haya ni mageuzi katika Afrika au tunaelekea kuwa bara lenye vurugu na hasira baada ya wananchi kuchoshwa na wanasiasa?

Kwa habari zaidi BONYEZA hapa.

 
Nchi isiyo na dola imara lazima wakubwa wapewe discipline na raia.
Marais wa Mali wanatabia ya kutembea kwa miguu hadharani, hata rais aliyekuwepo kaba ya Toure alikuwa Alfa Omar Konare alikuwa na tabia ya kuchanja mbuga kwa miguu bila bodyguard.
 
Wakuu amebaki Vasco naye tumlambe vibao hadharani. Hawa jamaa siyo wazuri kabisa! Anayestahili kupigwa yuko huku kwetu! Nyamb..f zake!
 
VOA News
May 21, 2012
Mali's interim president has been rushed to a hospital after being beaten by protesters who broke into the presidential palace.

VOA correspondent Anne Look in the capital, Bamako, reports that interim president Dioncounda Traore was taken away in an ambulance after Monday's attack.

She spoke to the president's chief of staff, Souleymane Niafo, who said Traore's life is not in danger, but that he is being treated for injuries. The full extent of Mr. Traore's injuries is unknown.

The incident occurred a day after the West African regional bloc ECOWAS and Mali's military junta reached an agreement that would allow Mr. Traore to remain in power past Tuesday, when his mandate was due to end.

The chief of staff says marchers came to the palace Monday and demanded the interim president step down. He says the protesters then clashed with guards and forced their way inside the palace and into Mr. Traore's office, where they attacked him.

He says authorities were eventually able to get the protesters out of the palace.

Mali has suffered through weeks of political turmoil since military officers seized power in a coup March 22.

Traore was installed as interim president last month, as ECOWAS pressured junta leaders for a return to constitutional order.

ECOWAS and the junta leaders had reached a deal Sunday that would allow the interim leader to remain in office until the country holds elections and transitions back to civilian rule.

The accord was signed after ECOWAS agreed to give the coup's leader, Captain Amadou Sanogo, all the benefits and privileges of a former head of state.

In an interview with VOA on Monday, government spokesman Hamadoune Toure called the agreement "a positive move." He said the junta leader's status as a former head of state does not mean he will hold sway during the transition process.

"It's not recognizing him to have a say, but they [ECOWAS] said he will have advantages recognized to all former heads of state. They invited him to work as a team with the president and with the prime minister for the supreme interests of Mali," he said.

Soldiers ousted Mali's elected government in March on the grounds that it was failing to handle to a Tuareg rebellion in the north. The rebels and Islamist groups now control more than half the country.
 
ngoja wachapwe wote ndo watashika adabu,hapa tz lishatokea na x prezda kupigwa,
 
Wakuu amebaki Vasco naye tumlambe vibao hadharani. Hawa jamaa siyo wazuri kabisa! Anayestahili kupigwa yuko huku kwetu! Nyamb..f zake!
Lisemwalo linakuja tena mbele ya my wife wake.
 
ukiona mwenzako anaonyolewa tia maji, baba lijizi jiangalie zam yako haiko mbali.
 
Huyu alikuwa rais wa mpito baada ya wanajeshi waliotwaa madaraka kukubali mpango wa ECOWAs kurudisha nchi kwa serikali ya kiraia. ilikuwa akae siku 40 madarakani ili aandae uchaguzi katika muda huo, lakini inaonekana alinogewa a urais, akajisahau. Hivyo dfawa ni kipondo tu cha msimamo.

Nimeipenda hii.
 
Huyu alikuwa rais wa mpito baada ya wanajeshi waliotwaa madaraka kukubali mpango wa ECOWAs kurudisha nchi kwa serikali ya kiraia. ilikuwa akae siku 40 madarakani ili aandae uchaguzi katika muda huo, lakini inaonekana alinogewa a urais, akajisahau. Hivyo dawa ni kipondo tu cha msimamo.

Nimeipenda hii.

Hiyo bila shaka ilitokana na shinikizo/ushauri wa wife.
 
Back
Top Bottom