Rais anapobariki ufisadi uvccm anatufundisha nini???

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Kama unatokea kuwa against na mafisadi na rais wa nchi anatumika vilivyo kukumaliza ukiwa wewe mwananchi wa karibia unafundishwa nini kwa hili???nimeanza kumwogopa kama ukoma..
huyu rais nilishasema afadhali ufisadi wa edward lowassa.....huyu ni fedhuli wa nchi na akijua uko nae
against achelewi kutumia maisha yake kukumaliza...je tunaitaji kuwa na rais kama huyu\
akuna asiyejua chokochoko za UVCCM zimeanza wapi na akikutosha wakaamua kumtumia RAIS WA MAFISADI MH KIKWETE KUHITIMISHA WALICHOTUMWA...NAKUMBUKA MAKAMBA ALMWAMBIA MASAUNI NIMETUMWA NA DOLA UJIUZULU SASA KWA HILI NAAMNI ALITUMWA

KAZI IPO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…