Yeye ni wa ukoo wa Ibilisi.Huyu mama hana roho. Kila kitu anatafuta justification hakubali ukweli. Mumewe ana kazi sana
Mtihani wa kidato cha nne siyo poa hata kidogo. Ukiziangalia hata akili za polisi walio wengi, utaona ulichoandika kina mantiki.Watu wengi waliofeli mtihani wa kidato chq nne ni vilaza pro max. Mama abdul ni mfano hai.
Unakumbuka kwa mara ya mwisho ulimuona lini hadharani? Usikute ameshamtoa roho kitambo tu kama sehemu ya kupatia uzoefu.Huyu mama hana roho. Kila kitu anatafuta justification hakubali ukweli. Mumewe ana kazi sana
Yupo. Nilisikia huyu mama aliolewa mke wa pili na huyo baba so baba muda mwingi yupo na bi mkubwaUnakumbuka kwa mara ya mwisho ulimuona lini hadharani? Usikute ameshamtoa roho kitambo tu kama sehemu ya kupatia uzoefu.
Kukataliwa ni kubaya sana mkuuKama na thubutu kusema walio andamana ni watu kutoka nje ya nchi kwa maana hiyo kazi ya kulinda taifa imemshinda, kama watu zaidi ya millions walio andamana mikoa yote sio watanzania je wameingia kwa njia gani hapa tanzania
Pia ametumia njia gani kugundua kuwa sio watanzania na anchukua hatua gani kuwarejesha kwenye nchi zao pia tungependa kuwekwa wazi ataje mataifa yao ili barozi zao zithibitishe au kukana na kuvunja uhusiano wa ki-diplomacy moja kwa moja pia na mimi nijulishwe kuwa mimi ni raia wa taifa gani maana niliandamana
Kama amechagua kuishi na Bi mkubwa, basi ataishi maisha marefu sana. Huyu Izraeli mtoa roho za watu amuachie yule mhuni wa mjini aliyekataa kuzeeka.Yupo. Nilisikia huyu mama aliolewa mke wa pili na huyo baba so baba muda mwingi yupo na bi mkubwa
Before ya kusoma teport anazoandikiwa na wasaidizi, achukue muda kutafakari maana wanamlisha false infoKama na thubutu kusema walio andamana ni watu kutoka nje ya nchi kwa maana hiyo kazi ya kulinda taifa imemshinda, kama watu zaidi ya millions walio andamana mikoa yote sio watanzania je wameingia kwa njia gani hapa tanzania
Pia ametumia njia gani kugundua kuwa sio watanzania na anchukua hatua gani kuwarejesha kwenye nchi zao pia tungependa kuwekwa wazi ataje mataifa yao ili barozi zao zithibitishe au kukana na kuvunja uhusiano wa ki-diplomacy moja kwa moja pia na mimi nijulishwe kuwa mimi ni raia wa taifa gani maana niliandamana
Sahihi kabisaWatu wengi waliofeli mtihani wa kidato chq nne ni vilaza pro max. Mama abdul ni mfano hai.