Rais amteua Deo Ndejembi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
image.jpeg
image.jpeg

Rais Magufuli amemteuwa Deo Ndejembi kuwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Kongwa.Deo anaenda kuziba nafasi ya Mkuu wa Wilaya aliyehamishiwa Mbozi
 
..ukawa bwana! duh!! nchi inaongozwa na chama kilichoshinda uchaguzi..ambacho ni ccm..sasa nyie mlitaka kina nani wateuliwe?? Kina mnyika ?
 
Back
Top Bottom