Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,910
- 6,497
Sasa Jamii Forums imefungiwa vipi wakati Rais mwenyewe amesema anapenda kusoma?
Unajua kinachoitwa Dini ya Shetani ni pale tu wasomi wanapojificha kuwaona raia kama wanao uwezo wa kufikiri. Kuona kama raia wanaweza kujitegemea kimawazo.
Mara ngapi umewasikia watu wanasema,"Huyu mtoto ana tabia mbaya. Hawa wazazi wake ni wavivu. Kwa nini wanamuacha mtoto anakuwa namna hii?"
Kama Jamii Forums imefungiwa makundi mengine ya Social Forum yataibuka.
Sasa huu ni wakati wa Uchaguzi ambapo watu wengi wanafuatilia news,unaiondoa Jamii Forums. Hii inashangaza. Sio tu unai ban, ila pia unawatishia watu maisha.
Unawaita watu maadui wa Taifa kwa kuwasema tu viongozi wabinafsi ambao wanadhani almasi yote ya Tanzania ni Mali ya watu kumi.
Huo ni ubinafsi,kama mtu hawezi ukufikiria kwamba watu wengine pia wapo.
Kupata insurance ya kuishi baada ya uongozi,does it mean that you have to five five- star hotels?
asilimia uongo wee falaHivi anajua kuwa asilimia 100 ya watu hawampendi hata kidogo
Sawa mwanetuasilimia uongo wee fala
😃😃😃Hivi usikute na yeye yupo humu na ID yake fake, huku akitumia VPN kama Members wengine!
Mtandao wa Twitter ambao kwa sasa ni X, serikali imeupiga ban,Sasa Jamii Forums imefungiwa vipi wakati Rais mwenyewe amesema anapenda kusoma?
Unajua kinachoitwa Dini ya Shetani ni pale tu wasomi wanapojificha kuwaona raia kama wanao uwezo wa kufikiri. Kuona kama raia wanaweza kujitegemea kimawazo.
Mara ngapi umewasikia watu wanasema,"Huyu mtoto ana tabia mbaya. Hawa wazazi wake ni wavivu. Kwa nini wanamuacha mtoto anakuwa namna hii?"
Kama Jamii Forums imefungiwa makundi mengine ya Social Forum yataibuka.
Sasa huu ni wakati wa Uchaguzi ambapo watu wengi wanafuatilia news,unaiondoa Jamii Forums. Hii inashangaza. Sio tu unai ban, ila pia unawatishia watu maisha.
Unawaita watu maadui wa Taifa kwa kuwasema tu viongozi wabinafsi ambao wanadhani almasi yote ya Tanzania ni Mali ya watu kumi.
Huo ni ubinafsi,kama mtu hawezi ukufikiria kwamba watu wengine pia wapo.
Kupata insurance ya kuishi baada ya uongozi,does it mean that you have to five five- star hotels?
Kabisa, halafu comment zake utakuta za kijinga kwelkwel!!.Hivi usikute na yeye yupo humu na ID yake fake, huku akitumia VPN kama Members wengine!
Unaweza ukakuta ndiyo BICHWA KOMWE - 😀😀😀Kabisa, halafu comment zake utakuta za kijinga kwelkwel!!.
Ajaye ndo aliyopo,Sasa Jamii Forums imefungiwa vipi wakati Rais mwenyewe amesema anapenda kusoma?
Unajua kinachoitwa Dini ya Shetani ni pale tu wasomi wanapojificha kuwaona raia kama wanao uwezo wa kufikiri. Kuona kama raia wanaweza kujitegemea kimawazo.
Mara ngapi umewasikia watu wanasema,"Huyu mtoto ana tabia mbaya. Hawa wazazi wake ni wavivu. Kwa nini wanamuacha mtoto anakuwa namna hii?"
Kama Jamii Forums imefungiwa makundi mengine ya Social Forum yataibuka.
Sasa huu ni wakati wa Uchaguzi ambapo watu wengi wanafuatilia news,unaiondoa Jamii Forums. Hii inashangaza. Sio tu unai ban, ila pia unawatishia watu maisha.
Unawaita watu maadui wa Taifa kwa kuwasema tu viongozi wabinafsi ambao wanadhani almasi yote ya Tanzania ni Mali ya watu kumi.
Huo ni ubinafsi,kama mtu hawezi ukufikiria kwamba watu wengine pia wapo.
Kupata insurance ya kuishi baada ya uongozi,does it mean that you have to five five- star hotels?
Alaf anafungua uzi natafuta mume bora.Hivi usikute na yeye yupo humu na ID yake fake, huku akitumia VPN kama Members wengine!