Rais alisema anapenda kusoma Jamii Forums

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,729
Reaction score
5,639
Sasa Jamii Forums imefungiwa vipi wakati Rais mwenyewe amesema anapenda kusoma?

Unajua kinachoitwa Dini ya Shetani ni pale tu wasomi wanapojificha kuwaona raia kama wanao uwezo wa kufikiri. Kuona kama raia wanaweza kujitegemea kimawazo.

Mara ngapi umewasikia watu wanasema,"Huyu mtoto ana tabia mbaya. Hawa wazazi wake ni wavivu. Kwa nini wanamuacha mtoto anakuwa namna hii?"

Kama Jamii Forums imefungiwa makundi mengine ya Social Forum yataibuka.

Sasa huu ni wakati wa Uchaguzi ambapo watu wengi wanafuatilia news,unaiondoa Jamii Forums. Hii inashangaza. Sio tu unai ban, ila pia unawatishia watu maisha.

Unawaita watu maadui wa Taifa kwa kuwasema tu viongozi wabinafsi ambao wanadhani almasi yote ya Tanzania ni Mali ya watu kumi.

Huo ni ubinafsi,kama mtu hawezi ukufikiria kwamba watu wengine pia wapo.

Kupata insurance ya kuishi baada ya uongozi,does it mean that you have to five five- star hotels?
 
Viongozi wengi duniani wanatumia VPN, sio rahisi kuamini lakini ni kweli. Hata wabunge wengi wanaingia xvideos dot com, Twitter etc kupitia VPN. Kuna wakati unajiuliza kama wanajua kuna kitu kinaitwa VPN wanachofungia ni nini?,si kujidanganya tu. Tupo jamii forums tumejaa tele, walichofungia ni nini!?.., 😅
 
Sasa Jamii Forums imefungiwa vipi wakati Rais mwenyewe amesema anapenda kusoma?

Unajua kinachoitwa Dini ya Shetani ni pale tu wasomi wanapojificha kuwaona raia kama wanao uwezo wa kufikiri. Kuona kama raia wanaweza kujitegemea kimawazo.

Mara ngapi umewasikia watu wanasema,"Huyu mtoto ana tabia mbaya. Hawa wazazi wake ni wavivu. Kwa nini wanamuacha mtoto anakuwa namna hii?"

Kama Jamii Forums imefungiwa makundi mengine ya Social Forum yataibuka.

Sasa huu ni wakati wa Uchaguzi ambapo watu wengi wanafuatilia news,unaiondoa Jamii Forums. Hii inashangaza. Sio tu unai ban, ila pia unawatishia watu maisha.

Unawaita watu maadui wa Taifa kwa kuwasema tu viongozi wabinafsi ambao wanadhani almasi yote ya Tanzania ni Mali ya watu kumi.

Huo ni ubinafsi,kama mtu hawezi ukufikiria kwamba watu wengine pia wapo.

Kupata insurance ya kuishi baada ya uongozi,does it mean that you have to five five- star hotels?

Atakuwa kiziwi kweli hajasikia iko korokoroni
 
Mtandao wa Twitter ambao kwa sasa ni X, serikali imeupiga ban,
Lakini Samia, na wateule wake unakuta wanapost huko, je wanampostia nani?
Hawa watu wanaakili kweli?
Sitaki nataka 😄😄
Jamii forum samia anatumia account nyingi ikiwemo ya Master.
 
Sasa Jamii Forums imefungiwa vipi wakati Rais mwenyewe amesema anapenda kusoma?

Unajua kinachoitwa Dini ya Shetani ni pale tu wasomi wanapojificha kuwaona raia kama wanao uwezo wa kufikiri. Kuona kama raia wanaweza kujitegemea kimawazo.

Mara ngapi umewasikia watu wanasema,"Huyu mtoto ana tabia mbaya. Hawa wazazi wake ni wavivu. Kwa nini wanamuacha mtoto anakuwa namna hii?"

Kama Jamii Forums imefungiwa makundi mengine ya Social Forum yataibuka.

Sasa huu ni wakati wa Uchaguzi ambapo watu wengi wanafuatilia news,unaiondoa Jamii Forums. Hii inashangaza. Sio tu unai ban, ila pia unawatishia watu maisha.

Unawaita watu maadui wa Taifa kwa kuwasema tu viongozi wabinafsi ambao wanadhani almasi yote ya Tanzania ni Mali ya watu kumi.

Huo ni ubinafsi,kama mtu hawezi ukufikiria kwamba watu wengine pia wapo.

Kupata insurance ya kuishi baada ya uongozi,does it mean that you have to five five- star hotels?
Ajaye ndo aliyopo,
Unadhani itawesekana?
 
Back
Top Bottom