Rais alimaanisha nini aliposema haya?

MangwelaJr

Senior Member
Jan 4, 2017
102
241
Akiwa Shinyanga tarehe 12/01/2017 mh.Raisi alisema:
"Tukitengeneza barabara za lami,watu mtaweza kutengeneza matikiti maji na kuyapeleka kuyauza Zanzibar".

Lengo la Uzi huu ni kuomba wale waliomuelewa mh.kuhusu haya maneno machache,alikuwa anamaanisha nini??

Ahsanteni.
 
Akili yako imeamua kuchagua hayo maneno tu, ila ukisikiliza hotuba yote utaelewa alikuwa anamaanisha nini.
 
Akiwa Shinyanga tarehe 12/01/2017 mh.Raisi alisema:
"Tukitengeneza barabara za lami,watu mtaweza kutengeneza matikiti maji na kuyapeleka kuyauza Zanzibar".

Lengo la Uzi huu ni kuomba wale waliomuelewa mh.kuhusu haya maneno machache,alikuwa anamaanisha nini??

Ahsanteni.
Alimaanisha kukiwa na lami usafirishaji utakuwa rahisi yanaweza kufika Zanzibar same day.
 
Kuna zanzibar nyingine hapo karibu na shinyanga usiwaze sana mkuu.
Ni sawa kabisa na kumsikia akisema atajenga flyover kutoka Ferry/kivukoni hadi Moroko au Kagera ili watu watumie dakika nane tu kusafiri toka Kivukoni hadi Kagera.
Usivute taswara ya umbali kati ya Dar (kivukoni) na Kagera (mkoa wa katerero).
 
Labda wataweka lami hadi baharini juu ya maji

Ishu inakuja pale maji kupwa na kujaaa inapotokea,lami lazima ita kreki,pia hata mawimbi ya bahari yataipasua
 
Alimaanisha kukiwa na lami usafirishaji utakuwa rahisi yanaweza kufika Zanzibar same day.
Mbona vitu obvious sana. Sasa kama viongozi wanaongea vitu obvious tuu watatuongoza kuelekea wapi?Kwani waligundu alami na kuona kwamba inafaa kwa barabara na barabara zikajengwa ili kuondoa za vumbi hawakuwa wakijua hilo?
 
Akiwa Shinyanga tarehe 12/01/2017 mh.Raisi alisema:
"Tukitengeneza barabara za lami,watu mtaweza kutengeneza matikiti maji na kuyapeleka kuyauza Zanzibar".

Lengo la Uzi huu ni kuomba wale waliomuelewa mh.kuhusu haya maneno machache,alikuwa anamaanisha nini??

Ahsanteni.
haha. Ni kazi barabara haijajieleza itaelekea wapi.Kisha maelezo ya kufika zenj yakaingia huku ikijulikana wazi kwamba kutengeneza barabara ya lami kwenda zenji,haiwezi kuwa mpango watanzania katika dunia ya leo. Kama sio yeye kajinukuu basi waliomnukuu wamemnukuu vibaya.
 
Akiwa Shinyanga tarehe 12/01/2017 mh.Raisi alisema:
"Tukitengeneza barabara za lami,watu mtaweza kutengeneza matikiti maji na kuyapeleka kuyauza Zanzibar".

Lengo la Uzi huu ni kuomba wale waliomuelewa mh.kuhusu haya maneno machache,alikuwa anamaanisha nini??

Ahsanteni.
Mbona inaeleweka mkuu
 
Kunahaja ya kumpeleka tena shule akasome maswala ya utawala amezidi kuropoka sana,speech zake ziko shaghalabagala
 
MKUU...lengo la huu Uzi sio kujadili elimu yake..lengo ni kupata maana halisi ya maneno yake hayo.
 
Back
Top Bottom