Rais alidanganywa? Vitambulisho vya NIDA vina signatures

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,307
4,585
Nimesoma katika gazeti la Guardian, kwamba wale wote waliokwisha pata vitambulisho vya taifa (vinavyotolewa na NIDA) hawatatakiwa kuvirudisha, japo vitambulisho hivyo vimekuwa vikikataliwa na mamlaka na taasisi mbalimbali, ikiwamo zile za kifedha kwa madai kwamba havina sahihi ya mmiliki wa kitambulisho. Madai haya pia yaliongezewa nguvu na Mhe. Rais JPM wakati akihutubia kilele cha siku ya sheria.
Kwa mujibu wa Waziri wa mambo ya ndani, Mhe. Kitwanga, vitambulisho vya Taifa vina sahihi na taarifa nyingine za mmiliki wake, ambazo zimehifadhiwa kwenye chip ya kitambulisho. Kupata taarifa hizo, ikiwa ni pamoja na sahihi unahitaji smart-card detector na sio kutumia mashine zinazotumika sasa za barcode reader. Teknolojia iliyotumika ni ya kisasa zaidi, hivyo ni wakati wa taasisi kama benki kuwezeshwa kupata mashine zenye uwezo wa kuwa na smart-card detector.

Maoni:
1. Rais alikuwa sahihi kutumbua jipu NIDA
2. Rais awe na washauri wenye sifa, katika nyanja mbalimbali, kuepuka kuwa kituko kwa kudhani atakuwa mjuvi wa kila kitu.

Government says won't recall 'faulty' national IDs
BY SYLIVESTER DOMASA
22nd February 2016
headline_bullet.jpg
According to NIDA, over 21 million bona fide Tanzanians aged 18 and above will have been issued with the identification cards by year's end
kit(1).png

The government has said it doesn’t intend to recall around 2 million electronically-produced national identity cards issued to citizens so far despite widespread complaints that the ID cards are flawed, saying instead that the cards will be rolled out to all eligible Tanzanians by the end of the year.

In an interview with The Guardian in Dar es Salaam yesterday, the Minister for Home Affairs, Charles Kitwanga, described the technology used to produce the disputed national IDs as ‘state-of-the-art’, and said more of the same cards would be issued by the National Identification Authority (NIDA) to over 21 million bona fide citizens aged 18 and above.

The national IDs have lately become a subject of rising debate and some dispute, especially after President John Magufuli personally faulted them in public as being poor ‘value for money’ due to the absence of some key features like signatures of card holders.

Magufuli suspended the NIDA director general, Dickson Maimu, and four other officials last month to pave the way for a thorough investigation on procurement processes after it was found that a total of Tshs 179.6 billion/- had questionably been spent on the far-from-completed national IDs project so far.

The president slammed the pace of the project, pointing out that the National Electoral Commission (NEC) had spent less than Tshs 70bn/- in producing 22.7 million voters’ registration cards, complete with card holders’ signatures, compared to NIDA’s Tshs 179.6bn/- expenditure on just 2.2 million ID cards.

There have been complaints of several local institutions, including commercial banks, rejecting the new national ID cards as an acceptable form of identification for individuals in the same manner as passports, driver licenses, voter cards or even pension membership cards, mainly due to the lack of signatures.

But according to minister Kitwanga, each national ID does have the signature of the holder and other personal information embedded on the inside, which requires a smart-card detector and not a conventional barcode reader to access the personal details. “The technology used to produce the national ID cards is very modern while most of our local banks are still using old technology,” he said.

The minister told The Guardian that he had instructed the acting NIDA director general, Dr Modestus Kipilimba, to help identify smart-card detectors and other devices compatible with the national IDs so they can be adopted by local banks and other institutions.

Kipilimba was the director of risk management at the Bank of Tanzania (BoT) before being appointed to replace Maimu at NIDA.

According to the NIDA website, the authority has so far registered about 6.3 million people in Zanzibar, Dar es Salaam, Coast, Lindi, Mtwara, Morogoro and Tanga regions for the national identification process and issued around 2.2 million ID cards to confirmed citizens.

The cards reportedly have an internal chip carrying the holder’s personal details that can be updated at any time. The chip also contains other information like driving licence details, passport and social security membership numbers.

The national ID cards are expected to offer a number of economic, social and security benefits not only to Tanzanians as individuals, but to the state at large. These include widening the tax base, identifying loan defaulters, controlling fraud, improving the national census and updating of the permanent voters’ register.

SOURCE: THE GUARDIAN
 
Hebu nitafitie hiyo saini yangu kwenye kitambulisho changu? Magufuri yupo sahihi kabisa mbona vya kura saini ipo kwenye kitambulisho na database...
 
Membe na Jack Gotham wameamua kujitetea kijanja ili kukwepa ule Ufujaji wa Mabilion kisha wanatengeza vitambulisho million 2 tu, Safari hii hata wakija na utetezi gani watu watahoji matumizi ya pesa hizo billion nyingi japo sasa Membe anajaribu kutumia yale Mabilion ya marehemu Gadafi kujidai kuwa kazi inaendelea hakuna pesa imeliwa huko nyuma, Watanzania wa sasa si wepesi wa kusahau kama wale wa zamani ngoja waendeleze Sinema lakini wasidhani wanajisafisha.
 
Hebu nitafitie hiyo saini yangu kwenye kitambulisho changu? Magufuri yupo sahihi kabisa mbona vya kura saini ipo kwenye kitambulisho na database...
Akina Membe na wenzake wanadhani Watanzania wa sasa ni wale wa Zamani wapo busy kuhangaika kujitetea lakini hawajui kuwa utetezi wao hauna nafasi kwa sasa watu wanataka kujua billion 167 zilikwenda wapi? ingawa Membe anataka kuingiza pesa zake kisha ajidai kuwa kazi inaendelea Kama kawaida.
 
Nimesoma katika gazeti la Guardian, kwamba wale wote waliokwisha pata vitambulisho vya taifa (vinavyotolewa na NIDA) hawatatakiwa kuvirudisha, japo vitambulisho hivyo vimekuwa vikikataliwa na mamlaka na taasisi mbalimbali, ikiwamo zile za kifedha kwa madai kwamba havina sahihi ya mmiliki wa kitambulisho. Madai haya pia yaliongezewa nguvu na Mhe. Rais JPM wakati akihutubia kilele cha siku ya sheria.
Kwa mujibu wa Waziri wa mambo ya ndani, Mhe. Kitwanga, vitambulisho vya Taifa vina sahihi na taarifa nyingine za mmiliki wake, ambazo zimehifadhiwa kwenye chip ya kitambulisho. Kupata taarifa hizo, ikiwa ni pamoja na sahihi unahitaji smart-card detector na sio kutumia mashine zinazotumika sasa za barcode reader. Teknolojia iliyotumika ni ya kisasa zaidi, hivyo ni wakati wa taasisi kama benki kuwezeshwa kupata mashine zenye uwezo wa kuwa na smart-card detector.

Maoni:
1. Rais alikuwa sahihi kutumbua jipu NIDA
2. Rais awe na washauri wenye sifa, katika nyanja mbalimbali, kuepuka kuwa kituko kwa kudhani atakuwa mjuvi wa kila kitu.

Government says won't recall 'faulty' national IDs
BY SYLIVESTER DOMASA
22nd February 2016
headline_bullet.jpg
According to NIDA, over 21 million bona fide Tanzanians aged 18 and above will have been issued with the identification cards by year's end
kit(1).png

The government has said it doesn’t intend to recall around 2 million electronically-produced national identity cards issued to citizens so far despite widespread complaints that the ID cards are flawed, saying instead that the cards will be rolled out to all eligible Tanzanians by the end of the year.

In an interview with The Guardian in Dar es Salaam yesterday, the Minister for Home Affairs, Charles Kitwanga, described the technology used to produce the disputed national IDs as ‘state-of-the-art’, and said more of the same cards would be issued by the National Identification Authority (NIDA) to over 21 million bona fide citizens aged 18 and above.

The national IDs have lately become a subject of rising debate and some dispute, especially after President John Magufuli personally faulted them in public as being poor ‘value for money’ due to the absence of some key features like signatures of card holders.

Magufuli suspended the NIDA director general, Dickson Maimu, and four other officials last month to pave the way for a thorough investigation on procurement processes after it was found that a total of Tshs 179.6 billion/- had questionably been spent on the far-from-completed national IDs project so far.

The president slammed the pace of the project, pointing out that the National Electoral Commission (NEC) had spent less than Tshs 70bn/- in producing 22.7 million voters’ registration cards, complete with card holders’ signatures, compared to NIDA’s Tshs 179.6bn/- expenditure on just 2.2 million ID cards.

There have been complaints of several local institutions, including commercial banks, rejecting the new national ID cards as an acceptable form of identification for individuals in the same manner as passports, driver licenses, voter cards or even pension membership cards, mainly due to the lack of signatures.

But according to minister Kitwanga, each national ID does have the signature of the holder and other personal information embedded on the inside, which requires a smart-card detector and not a conventional barcode reader to access the personal details. “The technology used to produce the national ID cards is very modern while most of our local banks are still using old technology,” he said.

The minister told The Guardian that he had instructed the acting NIDA director general, Dr Modestus Kipilimba, to help identify smart-card detectors and other devices compatible with the national IDs so they can be adopted by local banks and other institutions.

Kipilimba was the director of risk management at the Bank of Tanzania (BoT) before being appointed to replace Maimu at NIDA.

According to the NIDA website, the authority has so far registered about 6.3 million people in Zanzibar, Dar es Salaam, Coast, Lindi, Mtwara, Morogoro and Tanga regions for the national identification process and issued around 2.2 million ID cards to confirmed citizens.

The cards reportedly have an internal chip carrying the holder’s personal details that can be updated at any time. The chip also contains other information like driving licence details, passport and social security membership numbers.

The national ID cards are expected to offer a number of economic, social and security benefits not only to Tanzanians as individuals, but to the state at large. These include widening the tax base, identifying loan defaulters, controlling fraud, improving the national census and updating of the permanent voters’ register.

SOURCE: THE GUARDIAN
wakukurupuka
 
Ni porojo
Kama kutumbuliwa amesha Tumbuliwa
Vitambulisho vionekane sio porojo
 
NIDA hata waje na utetezi gani bado watadaiwa zile billion kibao na uzembe wa kuchelewesha vitambulisho, huo mda na pesa mnaotumia kujitetea ni bora ungetumika kutengeneza vitambulisho kwa kasi,
 
Hivi Membe alipewa mabilioni mangapi na Gaddafi, maana stori za mabilioni ya Gaddafi haziishi. ?
 
Hebu nitafitie hiyo saini yangu kwenye kitambulisho changu? Magufuri yupo sahihi kabisa mbona vya kura saini ipo kwenye kitambulisho na database...
Wakat unafanya process zako za kitambulisho si unakumbuka ulipewa ubao wa kuweka sahihi sasa hivyo vya utaifa ni vya kisasa data zako za vyeti na miaka na kila kitu ulivyosema unavyo vipo ndani ila uwez kuona kwa macho yani ile kadi iko kama memory card ina kila kitu ndani ya hiyo card ukitaka kuona nenda nida watakuonyesha ndugu ni ugeni wa techinology maybe ila itakua poa badae
 
Membe hakupewa hizo pesa bali alizipora kwa nguvu na baada ya kuzipora siku chache baadae balozi mwenye kumbukumbu na ushahidi akakutwa kafa kifo cha utata, marehemu Gadafi aliwekeza pesa nyingi Tanzania pia wakati amelemewa na vita alitoa Mabilion ya dola kwa Ajili ya kupatiwa msaada wa kijeshi ukitaka Uhakika nenda Ubalozi wa libya watakupa data zote A-Z .
 
........................

Kwa mujibu wa Waziri wa mambo ya ndani, Mhe. Kitwanga, vitambulisho vya Taifa vina sahihi na taarifa nyingine za mmiliki wake, ambazo zimehifadhiwa kwenye chip ya kitambulisho. Kupata taarifa hizo, ikiwa ni pamoja na sahihi unahitaji smart-card detector na sio kutumia mashine zinazotumika sasa za barcode reader. Teknolojia iliyotumika ni ya kisasa zaidi, hivyo ni wakati wa taasisi kama benki kuwezeshwa kupata mashine zenye uwezo wa kuwa na smart-card detector.

Maoni:
1. Rais alikuwa sahihi kutumbua jipu NIDA
2. Rais awe na washauri wenye sifa, katika nyanja mbalimbali, kuepuka kuwa kituko kwa kudhani atakuwa mjuvi wa kila kitu.

Hawa ndo aina ya mawaziri wasiotakiwa kuendelea ktk serikali inayotafuta ufumbuzi. Kweli huyu Waziri anaiona chip ndani ya kitambulisho? Ni teknolojia gani hiyo anayodai imetumika ktk kitambusho chake? Eti watumie smart card detector, Huyo waziri ana elimu yoyote ya cryptography?

Hiki ni kipande cha plastic, juu yake kimebandikwa picha na maandishi tuu. Cha kwangu nimeamua kukichubua. Ukishaondoa hayo mapicha, kinachobaki ni plastic isiyo na maana na haina kitu, hata haiwezi kupokea ciphertext yoyote!

Mtu kama huyu ni wa kufukuzwa tu!! Nonsense!
 
Membe hakupewa hizo pesa bali alizipora kwa nguvu na baada ya kuzipora siku chache baadae balozi mwenye kumbukumbu na ushahidi akakutwa kafa kifo cha utata, marehemu Gadafi aliwekeza pesa nyingi Tanzania pia wakati amelemewa na vita alitoa Mabilion ya dola kwa Ajili ya kupatiwa msaada wa kijeshi ukitaka Uhakika nenda Ubalozi wa libya watakupa data zote A-Z .
Unasema ukitaka taarifa za uhakika twende ubalozi wa libya inamaana taarifa zako hazina uhakika na unazungumza usichokijua? Maana wewe ndio umezungumzia kuhusu hayo mabilioni unaulizwa swali unasema jibu sahihi watu waende ubalozini sasa kulikuwa na maana gani kusema kitu usichokuwa na uhakika nacho?

Na auoni kama ni busara kwa mtu mzima kukaa kimya kwa jambo usilolijua kuliko kusema uongo na kujiaibisha mbele za watu?
 
Wakat unafanya process zako za kitambulisho si unakumbuka ulipewa ubao wa kuweka sahihi sasa hivyo vya utaifa ni vya kisasa data zako za vyeti na miaka na kila kitu ulivyosema unavyo vipo ndani ila uwez kuona kwa macho yani ile kadi iko kama memory card ina kila kitu ndani ya hiyo card ukitaka kuona nenda nida watakuonyesha ndugu ni ugeni wa techinology maybe ila itakua poa badae

Hebu nionyeshe japo chip ambayo ipo kwenye kitambulisho hicho...nyinyi ndio mnadanganywa lile ni plastic tu..ndio maana nakwambia kitambulisho cha kupiga kura ni bora kushinda hile takataka ya utaifa
 
Leseni ya gar ina chip zile mashine zina scan nn kwenye leseni umekalili kumbe we techonology aikusubiri inaenda mbele ikibadilika day to day we umeganda na chip old tech wake up kijana we kidole chako kina chip mbona una scan kwenye ile mashine unajua inachukua nn jmn wabongo sawa tuna jua ila atujui kila kitu
 
Hebu nionyeshe japo chip ambayo ipo kwenye kitambulisho hicho...nyinyi ndio mnadanganywa lile ni plastic tu..ndio maana nakwambia kitambulisho cha kupiga kura ni bora kushinda hile takataka ya utaifa
Leseni ya gar ina chip zile mashine zina scan nn kwenye leseni umekalili kumbe we techonology aikusubiri inaenda mbele ikibadilika day to day we umeganda na chip old tech wake up kijana we kidole chako kina chip mbona una scan kwenye ile mashine unajua inachukua nn jmn wabongo sawa tuna jua ila atujui kila kitu tujifunze
 
Hebu nitafitie hiyo saini yangu kwenye kitambulisho changu? Magufuri yupo sahihi kabisa mbona vya kura saini ipo kwenye kitambulisho na database...
Unaweka sahihi inayoonekana na kuficha nyingine katika Bar Code bwana huo ndio utaalam. Ili mtu aweze kuiona na kama anataka kuthibitisha anasoma na reader kwa hata kutumia app ya simu!!!!! Bado wanaotetea hamna jipya Rais was right
 
Back
Top Bottom