Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,370
- 39,186
Anapoteza Urais wake! Sasa Kingunge atuambie kama hili ni sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Sasa hivi unaweza ukakaa naye mkayamaliza ufipa hapoHuyu Kingunge anadhani Katiba ya Nchi ni Sera ya CCM. Anadhani kuwa na Katiba mpya ni sera ya CCM. Anasahau kuwa katiba ni mali ya wananchi. Anatangaza kufunga mjadala ambao hana mamlaka nao, hajui kwamba sasa ndio ameanzisha mjadala zaidi!
Sijui ni ulevi wa madaraka ama ni kauli zake za mwisho mwisho kabla hajaondolewa kwenye wizara ya "Siasa".
Hivi matokeo ya Kamati Kuu hayajamfundisha tu kwamba wakati wake umepita na kwamba kiburi cha mamlaka hakidumu milele?
Aendelee tu kulewa madaraka!
JJ