Rais ajizuie kutamka baadhi ya mambo hadharani

Usitufokee...we are on the right track ndio maana kila kitu sasa tunafanya kwa pesa zetu, mabeberu walizoea kutuibia mtu anakupa mkopo wa riba nafuu wa dola million 15 anakulazimisha unune kwake bidhaa zenye thamani ya dola million 20, na bado mkopo tunalipa kama si wehu huu ni nini, ni bora tufe njaa lakini tubaki na uzalendo wetu, nyie utopolo mliowaidi nchi mabeberu mtajijua mnawalipa nini mabeberu!!! Maana uchaguzi hamshindi ng'oo hata kwa bao la mkono.
we kijana Gardaword wamewapandishia mshahara eenh? mbina haukua hivi zamani?
 
Uko sawa mkuu, wao ccm hiki kipindi cha kampeni chochote wanaongea tu ilimradi waifurahishe hadhara waliyoikusanya kwa malori kuwasikiliza! Na hayo maneno yao ya mabeberu mie nitowe wito, wakumbuke kuna maisha baada ya uchaguzi! Mzungu akiamua kuonyesha hasira yake kwa Mwafrika, huwa ni hatari sana! Wameweza kubeba bajet ya uchaguzi lakini hawataweza kubeba gharama za miradi yote ya maendeleo tunayotemea kuitekeleza pasipo msaada wa hao tunaowaita mabeberu!
 
Kuna mambo Mheshimiwa Rais hapaswi kuyatamka hadharani hasa anapotamka mambo ambayo kiuhalisia ni tofauti na anachokisema.

Nimemsikiliza Mheshimiwa Rais, huwa namsikiliza kama Rais na Mgombea Urais. Wapinzani wake huwa nawasikiliza kama Wagombea Urais, zaidi sana Mgombea Urais wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu. Hawa wawili ndio wenye uchaguzi kwa Tanzania Bara na Uchaguzi wa Muungano.

Nimemsikiliza Mheshimiwa Mgombea Urais wa CCM kwa sura ya Rais wetu, kuna mambo amejaribu kumjibu Mgombea Urais hasimu wake Tundu Lissu wa CHADEMA. Bahati mbaya ni kwamba, lolote linalotamkwa na Mgombea Urais wa CCM, linasimama kama tamko la Kiongozi wa Nchi. Hii inatokana na shida iliyopo kwenye Katiba yetu. Kutokana na ukweli huo, kuna mambo Mheshimiwa Rais na Mgombea Urais wa CCM hapaswi kuyatamka hadharani. Nitafafanua.

Haifai kusema hadharani kwamba SADC walimchagua Mheshimiwa Rais kuwa Mwenyekiti wa SADC kwa sababu walimuona anafaa. Ukuu wa SADC ni wa kupokezana miongoni mwa wanachama wake, haupigiwi kura, Dunia nzima inafahamu hilo, vinginevyo tuambiwe alikuwa anagombea na nani na alipata kura ngapi. Na je, kwa sasa wamemuona hafai wakamchagua mwingine na yeye kutakiwa kukabidhi Uongozi kwa huyo alochaguliwa badala yake?

Sio kila shughuli za uwakilishi wa Nchi zinaweza kufanywa na mabalozi.. Tuchukulie mfano aliousema wa SADC, kwa nini hao anaowasema walimchagua hawakutuma mabalozi waje Tanzania kumchagua? Si wana balozi zao hapa kwetu?

Baba wa Taifa hili kila mwaka alikuwa akihudhuria mikutano ya Umoja wa Mataifa, si kwa sababu hatukuwa na mabalozi, au si kwa sababu hakuwa na kazi za kuwafanyia Watanzania, bali aliheshimu mifumo iliyowekwa Kimataifa.

Duniani kuna Viongozi mahasimu, huwa hawasalimiani wala kutembeleana, lkn inapofikia kalenda ya mikutano ya Kimataifa, mahasimu hao hukutana huko bila kujali misimamo yao.

Mnapokutana Viongozi wa Nchi, huwa ni fursa muhimu sana ya kuimarisha mahusiano ya kutegemeana katika mambo mbalimbali.

Kwa sasa Mheshimiwa Rais analiongoza Taifa kuanzisha na kujenga miradi mbalimbali mikubwa inayohitaji mapesa mengi. Endapo angeshiriki mikutano hii, na kwa kusaidiana na mabalozi wetu, angeweza kukutana na Viongozi wenzake wenye uwezo kiuchumi na pengine angewaomba na kuwashawishi wamsaidie na kuwasaidia Watanzania kufanikisha malengo yao.

Baba wa Taifa alifanya hivi, Mzee Mwinyi alifanya hivyo, Mzee Mkapa pia, Mzee Kikwete nae alipitia njia hiyo. Leo Watanzania tunanufaika na matunda ya Viongozi hao. Kuanzia huduma zetu za Afya, Elimu, Miundombinu kadhaa, ni matokeo ya ushirikiano huu. Hii reli ya Kati tumejengewa, TAZARA tumejengewa.

Kwa wasiojua, hata hiyo meli tuloikarabati ya MV Victoria ni ya Waingereza.. Ilikuwa inatumiwa na Malkia alipokuwa akija kutembelea Tanganyika na Kenya. Ni kabla hata haijawa mali ya Jumuiya ya kwanza ya Afrika Mashariki. Ziwa Tanganyika kuna meli kongwe ya MV Liemba, ni ya Wajerumani. Wakati wa vita kuu ya dunia, waliizamisha meli hiyo ili isishambuliwe, na baada ya vita wakaiibua tena na ikaendelea kutumika. Meli hizo zote zipo kwetu kwa sababu Viongozi waliotangulia walikutana na wenzao na kuzungumza.

Kwenye Afya, kuanzia dawa za malaria, chanjo za watoto na wajawazito, dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi, zote tunazipata bure ama kwa gharama nafuu sababu ya Viongozi wetu wakuu kukutana na kuzungumza na wenzao wa nje.

Katika mambo ambayo Mheshimiwa Rais anapaswa kuyafanyia marekebisho endapo atachaguliwa tena, ni hilo la mahusiano na Mataifa mengine hasa Nchi marafiki zetu. Kwanza haifai kuwaita mabeberu ilihali wanatusaidia kwa kila kitu mpaka usalama wetu.

Wakati mwingine yatupasa kuwaheshimu manake wanatumia mapato ya Kodi za Raia wao kutusaidia Sisi ilihali sisi hatuna uwezo wa kuwasaidia lolote zaidi ya neno Asante.

Kama Mtanzania, namshauri ajizuie kutoa matamshi yanayokinzana na uhalisia. Hii itamsaidia yeye mwenyewe kutojibebesha mizigo ya mawazo na hata soni inapotokea amekwama na anawahitaji Viongozi wenzake wa Kimataifa kumsaidia.

Lkn zaidi itasaidia kuendelea kuijenga heshima ya Tanzania Kimataifa kama ilivyokuwa tangu enzi za Baba wa Taifa hadi wakati wa Mzee Kikwete.

Umeandika ukweli mtupu. Akikuelewa wengi tutajiunga CCM.

Tofauti ni kuwa kushauri jiwe bora kutwanga maji kwenye kinu.
 
Pumba zako ndio umejaza kurasa kubwa hivi?
Kwani Mv Victoria kuachwa na wakoloni ndio iwe sababu serikali isijisifu kuwa imeikarabati kuwa kama meli mpya?

Unapotosha kuwa dawa zote tunapat bure kwa hiyo hiyo bil 450 inayonunua madawa huwa unatoa wewe na baba yako?

Rais anaposema alikuwa Chairman Sadcc sio kwamba hajui namna gani chairman anapatikana bali anasema Tanzania ina mahusiano mazuri ya kidiplomasia ndio maana aliaachiwa kuwa chairman. Kama huna mahusiano mazuri majirani zako watakuachia? Jinga wewe.
 
Kuna mambo Mheshimiwa Rais hapaswi kuyatamka hadharani hasa anapotamka mambo ambayo kiuhalisia ni tofauti na anachokisema.

Nimemsikiliza Mheshimiwa Rais, huwa namsikiliza kama Rais na Mgombea Urais. Wapinzani wake huwa nawasikiliza kama Wagombea Urais, zaidi sana Mgombea Urais wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu. Hawa wawili ndio wenye uchaguzi kwa Tanzania Bara na Uchaguzi wa Muungano.

Nimemsikiliza Mheshimiwa Mgombea Urais wa CCM kwa sura ya Rais wetu, kuna mambo amejaribu kumjibu Mgombea Urais hasimu wake Tundu Lissu wa CHADEMA. Bahati mbaya ni kwamba, lolote linalotamkwa na Mgombea Urais wa CCM, linasimama kama tamko la Kiongozi wa Nchi. Hii inatokana na shida iliyopo kwenye Katiba yetu. Kutokana na ukweli huo, kuna mambo Mheshimiwa Rais na Mgombea Urais wa CCM hapaswi kuyatamka hadharani. Nitafafanua.

Haifai kusema hadharani kwamba SADC walimchagua Mheshimiwa Rais kuwa Mwenyekiti wa SADC kwa sababu walimuona anafaa. Ukuu wa SADC ni wa kupokezana miongoni mwa wanachama wake, haupigiwi kura, Dunia nzima inafahamu hilo, vinginevyo tuambiwe alikuwa anagombea na nani na alipata kura ngapi. Na je, kwa sasa wamemuona hafai wakamchagua mwingine na yeye kutakiwa kukabidhi Uongozi kwa huyo alochaguliwa badala yake?

Sio kila shughuli za uwakilishi wa Nchi zinaweza kufanywa na mabalozi.. Tuchukulie mfano aliousema wa SADC, kwa nini hao anaowasema walimchagua hawakutuma mabalozi waje Tanzania kumchagua? Si wana balozi zao hapa kwetu?

Baba wa Taifa hili kila mwaka alikuwa akihudhuria mikutano ya Umoja wa Mataifa, si kwa sababu hatukuwa na mabalozi, au si kwa sababu hakuwa na kazi za kuwafanyia Watanzania, bali aliheshimu mifumo iliyowekwa Kimataifa.

Duniani kuna Viongozi mahasimu, huwa hawasalimiani wala kutembeleana, lkn inapofikia kalenda ya mikutano ya Kimataifa, mahasimu hao hukutana huko bila kujali misimamo yao.

Mnapokutana Viongozi wa Nchi, huwa ni fursa muhimu sana ya kuimarisha mahusiano ya kutegemeana katika mambo mbalimbali.

Kwa sasa Mheshimiwa Rais analiongoza Taifa kuanzisha na kujenga miradi mbalimbali mikubwa inayohitaji mapesa mengi. Endapo angeshiriki mikutano hii, na kwa kusaidiana na mabalozi wetu, angeweza kukutana na Viongozi wenzake wenye uwezo kiuchumi na pengine angewaomba na kuwashawishi wamsaidie na kuwasaidia Watanzania kufanikisha malengo yao.

Baba wa Taifa alifanya hivi, Mzee Mwinyi alifanya hivyo, Mzee Mkapa pia, Mzee Kikwete nae alipitia njia hiyo. Leo Watanzania tunanufaika na matunda ya Viongozi hao. Kuanzia huduma zetu za Afya, Elimu, Miundombinu kadhaa, ni matokeo ya ushirikiano huu. Hii reli ya Kati tumejengewa, TAZARA tumejengewa.

Kwa wasiojua, hata hiyo meli tuloikarabati ya MV Victoria ni ya Waingereza.. Ilikuwa inatumiwa na Malkia alipokuwa akija kutembelea Tanganyika na Kenya. Ni kabla hata haijawa mali ya Jumuiya ya kwanza ya Afrika Mashariki. Ziwa Tanganyika kuna meli kongwe ya MV Liemba, ni ya Wajerumani. Wakati wa vita kuu ya dunia, waliizamisha meli hiyo ili isishambuliwe, na baada ya vita wakaiibua tena na ikaendelea kutumika. Meli hizo zote zipo kwetu kwa sababu Viongozi waliotangulia walikutana na wenzao na kuzungumza.

Kwenye Afya, kuanzia dawa za malaria, chanjo za watoto na wajawazito, dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi, zote tunazipata bure ama kwa gharama nafuu sababu ya Viongozi wetu wakuu kukutana na kuzungumza na wenzao wa nje.

Katika mambo ambayo Mheshimiwa Rais anapaswa kuyafanyia marekebisho endapo atachaguliwa tena, ni hilo la mahusiano na Mataifa mengine hasa Nchi marafiki zetu. Kwanza haifai kuwaita mabeberu ilihali wanatusaidia kwa kila kitu mpaka usalama wetu.

Wakati mwingine yatupasa kuwaheshimu manake wanatumia mapato ya Kodi za Raia wao kutusaidia Sisi ilihali sisi hatuna uwezo wa kuwasaidia lolote zaidi ya neno Asante.

Kama Mtanzania, namshauri ajizuie kutoa matamshi yanayokinzana na uhalisia. Hii itamsaidia yeye mwenyewe kutojibebesha mizigo ya mawazo na hata soni inapotokea amekwama na anawahitaji Viongozi wenzake wa Kimataifa kumsaidia.

Lkn zaidi itasaidia kuendelea kuijenga heshima ya Tanzania Kimataifa kama ilivyokuwa tangu enzi za Baba wa Taifa hadi wakati wa Mzee Kikwete.
Umeandiko hovyo hovyo hata hueleweki, mbona hujaandika matusi anayorusha Lissu kwa Rais wetu mpendwa ?
 
Anayenyoosha ni Lissu siyo JPM kwa sababu yeye ni Rais tayari anangoja kuapishwa tu
Yuko live muda huu kutoka Kagera. Mambo ni yale yale. Hakuna jipya. Eti watu wa Kagera wana akili sana!! Kwa hiyo watu wa Mikoa mingine hawana akili?

Kazi kweli kweli. Ngoja Lissu aendelee tu kumnyoosha ili akili ikae sawa.
 
Heshima haijengwi kwa kuhudhuria UN,heshima inajengwa na uchumi imara ,take care gay
 
Pale aliilenga hadhira aliyokuwa nayo, hata sisi wengine huku tulimsikia lakini tukaishia kutikisa kichwa tu na kutabasamu...hata kina Gwaji au Jo devi wanaposema wameongea na Mungu anawaambia Watu wake sisi wengine wala hatuingilii.
 
Hahaha ngoja wale UVCC a.k.a JESHI LA AKIBA waje utasikia Mitano tena!.

Bashiru nawaamsha kujihu hoja wao wanaharisha.
 
Kuna mambo Mheshimiwa Rais hapaswi kuyatamka hadharani hasa anapotamka mambo ambayo kiuhalisia ni tofauti na anachokisema.

Nimemsikiliza Mheshimiwa Rais, huwa namsikiliza kama Rais na Mgombea Urais. Wapinzani wake huwa nawasikiliza kama Wagombea Urais, zaidi sana Mgombea Urais wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu. Hawa wawili ndio wenye uchaguzi kwa Tanzania Bara na Uchaguzi wa Muungano.

Nimemsikiliza Mheshimiwa Mgombea Urais wa CCM kwa sura ya Rais wetu, kuna mambo amejaribu kumjibu Mgombea Urais hasimu wake Tundu Lissu wa CHADEMA. Bahati mbaya ni kwamba, lolote linalotamkwa na Mgombea Urais wa CCM, linasimama kama tamko la Kiongozi wa Nchi. Hii inatokana na shida iliyopo kwenye Katiba yetu. Kutokana na ukweli huo, kuna mambo Mheshimiwa Rais na Mgombea Urais wa CCM hapaswi kuyatamka hadharani. Nitafafanua.

Haifai kusema hadharani kwamba SADC walimchagua Mheshimiwa Rais kuwa Mwenyekiti wa SADC kwa sababu walimuona anafaa. Ukuu wa SADC ni wa kupokezana miongoni mwa wanachama wake, haupigiwi kura, Dunia nzima inafahamu hilo, vinginevyo tuambiwe alikuwa anagombea na nani na alipata kura ngapi. Na je, kwa sasa wamemuona hafai wakamchagua mwingine na yeye kutakiwa kukabidhi Uongozi kwa huyo alochaguliwa badala yake?

Sio kila shughuli za uwakilishi wa Nchi zinaweza kufanywa na mabalozi.. Tuchukulie mfano aliousema wa SADC, kwa nini hao anaowasema walimchagua hawakutuma mabalozi waje Tanzania kumchagua? Si wana balozi zao hapa kwetu?

Baba wa Taifa hili kila mwaka alikuwa akihudhuria mikutano ya Umoja wa Mataifa, si kwa sababu hatukuwa na mabalozi, au si kwa sababu hakuwa na kazi za kuwafanyia Watanzania, bali aliheshimu mifumo iliyowekwa Kimataifa.

Duniani kuna Viongozi mahasimu, huwa hawasalimiani wala kutembeleana, lkn inapofikia kalenda ya mikutano ya Kimataifa, mahasimu hao hukutana huko bila kujali misimamo yao.

Mnapokutana Viongozi wa Nchi, huwa ni fursa muhimu sana ya kuimarisha mahusiano ya kutegemeana katika mambo mbalimbali.

Kwa sasa Mheshimiwa Rais analiongoza Taifa kuanzisha na kujenga miradi mbalimbali mikubwa inayohitaji mapesa mengi. Endapo angeshiriki mikutano hii, na kwa kusaidiana na mabalozi wetu, angeweza kukutana na Viongozi wenzake wenye uwezo kiuchumi na pengine angewaomba na kuwashawishi wamsaidie na kuwasaidia Watanzania kufanikisha malengo yao.

Baba wa Taifa alifanya hivi, Mzee Mwinyi alifanya hivyo, Mzee Mkapa pia, Mzee Kikwete nae alipitia njia hiyo. Leo Watanzania tunanufaika na matunda ya Viongozi hao. Kuanzia huduma zetu za Afya, Elimu, Miundombinu kadhaa, ni matokeo ya ushirikiano huu. Hii reli ya Kati tumejengewa, TAZARA tumejengewa.

Kwa wasiojua, hata hiyo meli tuloikarabati ya MV Victoria ni ya Waingereza.. Ilikuwa inatumiwa na Malkia alipokuwa akija kutembelea Tanganyika na Kenya. Ni kabla hata haijawa mali ya Jumuiya ya kwanza ya Afrika Mashariki. Ziwa Tanganyika kuna meli kongwe ya MV Liemba, ni ya Wajerumani. Wakati wa vita kuu ya dunia, waliizamisha meli hiyo ili isishambuliwe, na baada ya vita wakaiibua tena na ikaendelea kutumika. Meli hizo zote zipo kwetu kwa sababu Viongozi waliotangulia walikutana na wenzao na kuzungumza.

Kwenye Afya, kuanzia dawa za malaria, chanjo za watoto na wajawazito, dawa za kufubaza virusi vya Ukimwi, zote tunazipata bure ama kwa gharama nafuu sababu ya Viongozi wetu wakuu kukutana na kuzungumza na wenzao wa nje.

Katika mambo ambayo Mheshimiwa Rais anapaswa kuyafanyia marekebisho endapo atachaguliwa tena, ni hilo la mahusiano na Mataifa mengine hasa Nchi marafiki zetu. Kwanza haifai kuwaita mabeberu ilihali wanatusaidia kwa kila kitu mpaka usalama wetu.

Wakati mwingine yatupasa kuwaheshimu manake wanatumia mapato ya Kodi za Raia wao kutusaidia Sisi ilihali sisi hatuna uwezo wa kuwasaidia lolote zaidi ya neno Asante.

Kama Mtanzania, namshauri ajizuie kutoa matamshi yanayokinzana na uhalisia. Hii itamsaidia yeye mwenyewe kutojibebesha mizigo ya mawazo na hata soni inapotokea amekwama na anawahitaji Viongozi wenzake wa Kimataifa kumsaidia.

Lkn zaidi itasaidia kuendelea kuijenga heshima ya Tanzania Kimataifa kama ilivyokuwa tangu enzi za Baba wa Taifa hadi wakati wa Mzee Kikwete.
Sisi tulisha mchagua tayari tunasubili tarehe 28 tukamilishe tu,
Huyo mpinzani wake anasaidia chama chake kupata angalau wabunge kumi tu.
 
Unajisumbua kumpigia Jiwe au sijui Mbuzi gitaa
 
Acha aendelee kuinyosha nchi bhana, maana wtz tunaongea sana na kujijibu sis wenyewe
Jpm 5 tena
 
Usitufokee...we are on the right track ndio maana kila kitu sasa tunafanya kwa pesa zetu, mabeberu walizoea kutuibia mtu anakupa mkopo wa riba nafuu wa dola million 15 anakulazimisha unune kwake bidhaa zenye thamani ya dola million 20, na bado mkopo tunalipa kama si wehu huu ni nini, ni bora tufe njaa lakini tubaki na uzalendo wetu, nyie utopolo mliowaidi nchi mabeberu mtajijua mnawalipa nini mabeberu!!! Maana uchaguzi hamshindi ng'oo hata kwa bao la mkono.
Jibu hoja vyenginevyo tunakuo ni kiroja
 
Wewe unajua gharama ya rais kwenda nje nchi kama Us ni kiasi gani? Au unaharisha maneno.
Raisi ana bajeti YAke kama raisi siyo muuza KOROSHO za kupora yule. Hao wote wanaenda na waliokuwa wanaenda walikuwa wanaruka na ungo? Uliambiwa na Chizi gani kwamba akienda US nchi itafilisika? Shabash mlisoma wapi Nyie
 
Back
Top Bottom