Kuongoza kwa mfano....safi Mr. President...We lead by Examples...CCM inahakikisha kua Taifa linakua la amani, na kila mtu anapewa haki ya kulindwa na kujilinda vile vile, kama Rais naye kahakiki silaha, sisi ni kina nani tusifanye hivyo...
Kwasababu teknolojia imekuwa kila mahali kwahiyo viongozi wetu nao wameathirika kinamna flani na wamesahau majukumu yao kwasasa nao wanaonekana ni wasanii tu kwasababu msanii akinunua hata sofa nyumbani kwake lazima awaite waandishi wa habari Walipige picha.