Jacob Joachim
Member
- Nov 24, 2011
- 27
- 4
Mbona ilisemekana ameahirisha mpaka jumatatu?
Mbona ilisemekana ameahirisha mpaka jumatatu?
Jaji Joseph Sinde Warioba ndiyo anakula kiapo.
Getrude Mongela anaongea kama Chadema siku hizi.
Matangazo ya TBCCM huku Arusha ni mabayaaa tunaona picha tu
tbc kimeo imegoma mitambo full mizengwe
tbc wamerudi tena... sauti inakata kata picha zinaganda...daaah hii ndiyo tv ya taifa