Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Uchaguzi ujao Raisi Uhuru Kenya ni lazima atashinda, ukiniuliza mimi Raila Odinga na wengineo wanapoteza tu muda wao kwani Raisi Uhuru Kenya kwa maoni yangu amefanya mengi sana mazuri kwa nchi ya Kenya ambayo Wapinzani wanapotosha wananchi wa Kenya, lkn ukweli ni kwamba Raisi
Uhuru Kenya anabamba sana!
Na wao upinzani wa Kenya wanalijua hilo kwamba hawawezi kumshinda na ndiyo maana wanaanza kulia kuibiwa kura kabla hata ya Uchgauzi, nia yao wawatayarishe Wakenya kisaikolojia ili wakishindwa walianzishe kushinikiza Serikali ya mseto, lkn kwa kura hawawezi kumshinda Uhuru!