Raila Odinga to travel to London before elections!

Raila Odinga to travel to London before elections!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Haya wiki chache kabla ya Uchaguzi Raila Odinga anaondoka kwenda London, Uingereza kuteta na Muzungu, ushauri wangu Wakenya fungeni Mikanda tu kwani mambo siyo mambo tena, akirudi huko ni Kenyan spring in the making, ...
 
Asije akawa anaenda kununua silaha yakajirudia yale ya 2007.
Bandari ya Mombassa ichungwe sana, ndio mlango wa kuingilia silaha haramu. Miaka michache iliyopita (sikumbuki mwaka halisi) zilikamatwa kontena zikiwa zimesheheni silaha za kivita. Lile saga sijui liliishia wapi.
 
Waacha baba akarefresh ubongo
 
east africa spring itafatia ili hawa miungu mtu watolewe hapo walipojiweka
 
Back
Top Bottom