Hilo ni jambo dogo tu mbona.hamuwajui wanasiasa nyie ndo mana mnaweka mada bila kujifikirisha,yamkini Kenyata mwenyewe ndo kamwambia nenda wewe pale ili kuweka utulivu kwa wananchi.inawezekana kabisa ni jambo wamelipanga ila kwa kua binadamu mnaendeshwa na mihemko bila kufikili ndo inaleta maneno