johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,168
- 142,286
Waziri mkuu mstaafu wa Kenya mh Raila Odinga amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa reli ya kisasa SGR nchini na kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kuinua uchumi.
Raila amesema reli hiyo itasaidia sana kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi za Afrika ya mashariki.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!
Raila amesema reli hiyo itasaidia sana kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi za Afrika ya mashariki.
Source Star tv
Maendeleo hayana vyama!