Raila Odinga akagua ujenzi wa reli ya kimataifa Tanzania SGR na kummwagia sifa Rais Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,763
Waziri mkuu mstaafu wa Kenya mh Raila Odinga amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa reli ya kisasa SGR nchini na kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kuinua uchumi.

Raila amesema reli hiyo itasaidia sana kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi za Afrika ya mashariki.
Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Safi sana Aguambo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari bila picha/ video clip sawa na taka taka tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Waziri mkuu mstaafu wa Kenya mh Raila Odinga amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa reli ya kisasa SGR nchini na kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kuinua uchumi.

Raila amesema reli hiyo itasaidia sana kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi za Afrika ya mashariki.
Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!

Vyama havina maendeleo ndio tatizo kubwa..!! Ni briefcase za watu tu..!!
 
Lini atamuanika kichaa kuhusu udikteta wake na maovu yake mengine ikiwemo uongo wa kupindukia?

Waziri mkuu mstaafu wa Kenya mh Raila Odinga amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa reli ya kisasa SGR nchini na kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kuinua uchumi.

Raila amesema reli hiyo itasaidia sana kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi za Afrika ya mashariki.
Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Waziri mkuu mstaafu wa Kenya mh Raila Odinga amefanya ziara ya kutembelea ujenzi wa reli ya kisasa SGR nchini na kumpongeza Rais Magufuli kwa jitihada zake za kuinua uchumi.

Raila amesema reli hiyo itasaidia sana kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi za Afrika ya mashariki.
Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!

Kama nani anakagua, mshikaji?
 
Back
Top Bottom