Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,308
- 4,207
hali ya Raila ilipokuwa nzuri ilikusaidia nini...na sasa kama ni mbaya inakusaidia nini??....Hivi ni kweli hizi tetesi na uvumi Raila na Born town wako Hoi hawawez kuinuka hata kitandani.
Ama ni story na porojo za wambea vijiweni wakishashiba na kuvimbiwa na kande?
Magonjwa Mtambuka Una roho mbaya Sana.
adriz The Consigliere
Je born town naye ni kweli afya mgogoro Yuko hoi kitandani?hali ya Raila ilipokuwa nzuri ilikusaidia nini...na sasa kama ni mbaya inakusaidia nini??....
Lisemwalo lipo yeye ana msemo wa za kuambiwaJe born town naye ni kweli afya mgogoro Yuko hoi kitandani?
Ostadhi Hassan Ali shahidi wa Mtume Mohamed SAW na Uislamu umepatwa na nini Shekhe?
Ushaniharibia funga yangu 😋
DuhKama kweli naomba afe mara moja huyo mwehu asirudi Tena uraiani
Huyu angefaa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA afaidi michango ya tonetone
Mange kamwe hawezi kumsema JK vibaya. JK ni mtu poa Sana. Huku Skendinevia ndie kiongozi pekee wa Africa anaheshimiwa sana. Najua mwamba ataingilia kati wasimuue polepole. JK kaja kubadilika kwa sababu ya uzee na dementia.Write your reply...umewahi ona popote kigogo mange kimambi na maria sarungi au fatma karume wakimsema vibaya mzee j kikwete?
Huyu angefaa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA afaidi michango ya tonetone
Huyo ni muuaji na shetani aliua ndugu zangu huku mtwaraMange kamwe hawezi kumsema JK vibaya. JK ni mtu poa Sana. Huku Skendinevia ndie kiongozi pekee wa Africa anaheshimiwa sana. Najua mwamba ataingilia kati wasimuue polepole. JK kaja kubadilika kwa sababu ya uzee na dementia.