Raila in Naivasha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raila in Naivasha

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by sundu, Nov 3, 2007.

 1. s

  sundu Member

  #1
  Nov 3, 2007
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 5
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kenyan next President is in Naivasha for campaigns. Agwambo anatisha. lets all support Raila.
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Raila bwana! Sera yake kubwa ni ya majimbo?
   
 3. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndio. Sera yake ameipata kutoka kwa Katiba Pendekezi au Draft Constitution iliyonakiliwa na kamati ya kikatiba ya Ghai, 2002. Kamati ya Ghai iliyowaleta wadau mbali mbali toka sekta tofauti za Kenya ilibainisha kwamba waKenya wengi (89%) wanapendelea kuwa na serikali ya majimbo au Ugatuzi.

  Raila amedai kwamba akiingia ikulu cha kwanza kitakuwa kuipeleka katiba hio ya Ghai ijulikanayo kama the Bomas Draft bungeni na kuiidhinisha maramoja kama katiba rasmi ya Kenya. Tunayotumia hivi sasa, kama ilivyo desturi nchini nyingi barani Afrika ni ile ya waBeberu.

  Bomas Draft ndio inampatia dira Raila kwenye kampeni yake wala sio mafikira yake binafsi anayotakakulazimisha kinyuani mwetu. Basi.
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Nov 4, 2007
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Wakenya mpeni surpport Raila.Ni mtu mwenye vision
   
 5. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ben Raila ndio kiboko yao. Kura kwa Raila ni kura kwa mwananchi wa kawaida popote pale alipo nchini. Kura kwa Kibaki ni kura kwa mabepari waliotekanyara uchumi wa nchi yetu toka enzi za Kenyatta. Raila Juu, ODM Juu!

  It took Nyerere to release Tanzania from the shackles of the new African bourgeoisie who wanted to colonize Tanzania from within in the 1960s. For us, it has taken a long time for our Nyerere to appear. Now he is here in the form of Raila Amolo Odinga. Kenya, like Tanzania after 1967 will never be the same again after 2007 with Raila in State House.

  Mwalimu Kambarage Nyerere kasema, "Wewe fanya jukumu lako na yote yawezekana."
   
 6. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kenyan-Tanzanian,
  Tatizo watu bwana hubadilika! Hata Kibaki in 2002 alitupa matumaini makubwa sana- sasa amebadilika. JK alipata 80% ya kua Tz 2005 naye sasa amebadilika!
  Je Raila hatabadilika? A change for better or worse?
   
 7. Kenyan-Tanzanian

  Kenyan-Tanzanian JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2007
  Joined: Nov 7, 2006
  Messages: 307
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mzalendo,

  Ukweli ni kwamba mambo ya viongozi na uongozi hapa Afrika ni karata ya pata potea. Ulivyosema kwa hakika ni mambo ambayo yaweza tokea. Lakini huyu jamaa anaingia ikulu on the strong basis of shared power na wenzake watano walio step down ili yeye awe mgombeaji wa ODM yaani Mudavadi, Ruto, Balala na Nyagah.

  Raila anajua akitaka kuenjoy madaraka kama Rais wa Kenya kwa vipindi viwili ni lazima afanye ambayo waKenya wanatarajia atafanya. La sivyo ni muhula mmoja tu wa miaka 5 na pia yeye tunamfurusha hadi retirement.

  Lakini kama nilivyosema awali saa zingine kwenye mchezo wa kamari, unawezaona kuwa Chelsea leo ndio itashinda na itaendelea kushinda kwa muda mrefu hivyo basi ukawekeza bet yako juu ya kichwa chao badala ya kile cha Manchester United. Na kwa kweli shida baadaye inaeza ikumba hata Chelsea hiyo kama tulivyoshuhudia hivi majuzi.

  Kura ni kamari, inahitaji strategic gambling.
   
 8. M

  Masatu JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2007
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kenyan-Tz

  Hivi Balala ulemtaja hapo ni yule Yusuf Balala wa Mombasa aliekuwa anaishi Kuwait au ndugu yake I just wanna know.

  Halafu hivi ni kweli hizi allegations kuwa Kibaki ana matatizo ya kiakili (mental case) au ni mambo ya kisiasa tu
   
 9. s

  sundu Member

  #9
  Nov 4, 2007
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 5
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  La! raila sera yake kubwa ni maisha bora kwa kila mkenya. Maisha yenye kila Mkenya atajivunia na atapenda. tena raila anagombea urais kwa kigezo cha kuleta mabadiliko kwenye serikali yake. Hatuwezi kuendelea na sera ya kuwapa watu kutoka eneo moja uongozi serikalini kama wengine hawalipi kodi. Vile Kikwete ameanza na watu wa kusini. Hivyo ndio ukabila ulianza Kenya na Kikwete anauleta hapa bongo.
   
 10. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2007
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Masatu,
  Hili la Intelectual Disability la Kibaki hii kali! Wewe unaamini ana mental problems? I dont believe so! Watu wansema tu Lucy- Mke wake ndo actually anayeiongoza Kenya kwa remote!
  May be siasa- wacha Kenyan-Tanzanian Akujibu!
   
 11. Alai

  Alai Member

  #11
  Nov 4, 2007
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lucy anaongoza na remote kweli. Ni aibu ya aina yake kujua kwamba 'nincompoop' kama Lucy anaweza kutoa hoja juu ya uongozi Kenya. Hebu fikiria itakuwaje kama Mama Salma ataenda usiku na night dress IPP media na kuonza kutisha waandishi wa habari? Its a shameful act. Lucy and Wambui, all wives of Kibaki, are ruling Kenya. One through the police and AG and another through the mercenaries. Kenyans are tired and are going to remove Kibaki and his cocoons.
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  Nov 5, 2007
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,694
  Trophy Points: 280
  Raila mtu wa nguvu sana.Hii spirit yake ya kutaka radical changes ni ya ajabu.Hapa kwetu itawezekana siku moja tu
   
 13. Alai

  Alai Member

  #13
  Nov 5, 2007
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Raila is the surest candidate to bring change to Kenya. Mwenye wivu ajinyonge.
   
 14. bongo-live

  bongo-live JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2017
  Joined: Jul 3, 2013
  Messages: 824
  Likes Received: 350
  Trophy Points: 80
  hongera odinga
   
 15. LightYagami

  LightYagami JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2017
  Joined: Dec 6, 2016
  Messages: 1,575
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Najib Balala. Waziri wa Utalii Kenya. Najib Balala - Wikipedia balala.jpg
   
Loading...