Raila Aongoza

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,095
2,000
Du subiri tu Dec. kumpata Kibaki for 2nd term!
Sijui kwa nini Raila na team yake hawataki kukubali tsunami ya Kibaki- wasubiri tu hadi 2012! Hakuna neno!
Raila kama anataka Tanzania 2010 au Uganda basi aseme mapema- ila shirikisho kwa sasa bado!
 

Saharavoice

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
3,445
2,000
Mimi na vote kwa Raila, kutokana na mwenendo wa siasa za Kenya kwa sasa, hasa baada ya Keneth Matiba kujitosa kuwania Urais kitu ambacho kuna uwezekano Kibaki akagawana kura na Matiba kutoka centre Kenya. but still Ngoma ni nzito
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom