Raila Amolo Odinga-the warrior

Raila Amolo Odinga-the warrior

Mangwea1900

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2025
Posts
2,485
Reaction score
3,224
Raila Amolo Odinga alizaliwa tarehe 7 Januari, 1945. Raila Amolo Odinga ni kiongozi wa mfano katika ukanda wa Afrika Mashariki na bara la Afrika kwa ujumla.

Ulale salama "Baba" haya ni miongoni mwa machache katika katika wakati wa uhai wake:-

1. Alitetea haki za Wakenya kwa miongo mitano (5).

2. Ni kiongozi aliyepigania na kufanikisha siasa za vyama vingi.

3. Aliwekwa kizuizini bila kushtakiwa kwa miaka 6.

4. Alijiapisha kuwa Rais wa wananchi.

5. Pamoja na harakati zake ambazo ziligharimu uhai wa zaidi ya wananchi 1000 bado alipohitajika kwa mazungumzo alikubali.

6. Alikuwa na ushawishi kwa rika zote za wananchi wa Kenya.

7. Alitumia vitendawili na nyimbo za Bob kwenye mikutano yake ya hadhara.

8. Alikitendea haki kijiti alichopokea kutoka kwa baba yake Jaramogi Oginga Odinga.

Soma Pia: Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo

Hakuwa mwanasiasa tu bali mwanaharakati wa jamii, mpigania uhuru na mtetezi wa wanyonge.
Ulale salama mwanamapinduzi, mwanaharakati, mwana wa Afrika, Mzalendo wa kweli, Mtetezi wa kweli wa Wakenya,

"No retreat no surrender"
 
Back
Top Bottom