Nunueni bundle Acheni kupenda vya bureFreebasics mnatusaidiaje sasa
Kama jamaa alipona hapo lazima atakua hakulala siku kadhaa kwa kuwewesekaDRC hii jamaa kaamua kutembea naeView attachment 1404203
Tatizo Silaha za moto...Sijui kwanini Tanzania huwa tunaogopa police wakati sisi ni wengi wao wachache ni kukosa umoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina bundle nisaidie
Huko India police wamekutana na balaa
Kutoka kwa raia, hii corona imeleta balaa juu ya balaa
Ova
View attachment 1404183
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo hawa wavaa uniform ukiwaheshimu wanaona wanaogopwa huo ndio mfano halisi, nimecheka kama mazuriHuko India police wamekutana na balaa
Kutoka kwa raia, hii corona imeleta balaa juu ya balaa
Ova
View attachment 1404183
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado, hakuna kitu kibaya kama binadamu akisema sasa inatoshaSijui kwanini Tanzania huwa tunaogopa police wakati sisi ni wengi wao wachache ni kukosa umoja
Sent using Jamii Forums mobile app