Raia wa Israel wampinga Netanyahu

Raia wa Israel wampinga Netanyahu

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,856
150308081343_israel_protesta_contra_netanyahu_640x360_getty_nocredit.jpg
Raia wa Israel wafanya maandamano ya kupinga uongozi wa waziri mkuu Benjamin Netanyahu


Watu zaidi ya 25 elfu wameshiriki kwenye mhadhara mjini Tel Aviv, kumpinga waziri mkuu, Benjamin Netanyahu ambapo walitaka mabadiliko katika mwelekeo wa siasa na uongozi wa Israel.

Meir Dagan, mkuu wa zamani wa shirika la ujasusi la Israel, Mossad, ameuambia mkusanyiko huo jana usiku, kuwa uongozi wa nchi hiyo unamtisha zaidi, kuliko anavyotishwa na maadui.

Mhadhara huo ulitayarishwa na shirika la raia, linalotaka makubaliano ya amani baina ya Israil na Wapalestina.

Waandishi wa habari wanasema hayo yalikuwa kati ya maandamano makubwa kabisa dhidi ya serikali, kufanywa kabla ya uchaguzi wa kati ya mwezi.



Chanzo: BBC

MAONI YANGU;WAPELESTINA WAINGENI WANAICHI WA ISRAEL ILI MAUAJI YANAYOTOKE HUKO YAISHE.
 
TEL AVIV, Israel (AP) -

Tens of thousands of Israelis are gathering at a Tel Aviv square under the banner "Israel wants change" and calling for Prime Minister Benjamin Netanyahu to be replaced in March 17 national elections.

Saturday night's rally at Rabin Square is the highest profile demonstration yet in the run-up to the election. It is organized by a non-profit organization seeking to change Israel's priorities and refocus on health, education, housing and the country's cost of living. Though not officially endorsed by any political party, it drew mostly supporters of leftist and centrist parties.

The rally's keynote speaker is former Mossad chief Meir Dagan who recently slammed Netanyahu's conduct and called him "the person who has caused the greatest strategic damage to Israel."

o-TEL-AVIV-900.jpg


Israelis take part in a rally in Rabin Square, Tel Aviv on March 7, 2015. (JACK GUEZ/AFP/Getty Images)
 
Amezidi ubabe na Republican wake zake. Anafikiri ulimwengu wa leo unahitaji watu kama yeye kumbe watu wanataka amani na upendo
 
Netanyahu Govt More 'Frightening' than all Israel Enemies, Ex-Mossad Chief Tells Crowds

Published time: March 08, 2015 00:38
Edited time: March 08, 2015 10:44

http://rt.com/news/238745-ani-netanyahu-rally-israel/
http://cdn.rt.com/files/news/3a/49/90/00/ani-netanyahu-rally-israel.si.jpg
Israelis gather at a rally, calling for a change of Government and to replace Prime Minister Benjamin Netanyahu, at Rabin Square in Tel Aviv, March 7, 2015. (Reuters/Amir Cohen)

Israel is suffering the “worst crisis since its creation” under Netanyahu’s leadership, a former Mossad director told a crowd of up to 50,000 in Tel Aviv. The anti-government rally was orchestrated and funded from abroad, said the ruling Likud party.

Delivering his keynote speech, Meir Dagan, the former Mossad director spoke of the government’s lack of vision and inability to properly direct the country surrounded by enemies.

“I am frightened by our leadership. I am afraid because of the lack of vision and a loss of direction. I am frightened by the hesitation and the stagnation [of Israel’s government]. And I am frightened, above all else, from a crisis in leadership. It is the worst crisis that Israel has seen to this day,” Maj. Gen Dagan told a receptive crowd in Rabin Square in Tel Aviv, held under the banner of 'Israel wants change.'

http://twitter.com/David_EHG/status/574335829092532224/photo/1

“Israel is a nation surrounded by enemies, but our enemies are not the ones that scare me,” Dagan said blaming Netanyahu for failing to lead at least one “sincere initiative to foment change in the region or to craft a better future.”

In response, the Likud party stated that the gathering - attended by 30 to 50 thousand people, from various estimates - was orchestrated and funded by millions of dollars from abroad in order to “change the nationalist Likud government headed by Netanyahu with a left wing government,” which will be supported by the Arab parties, according to the Times of Israel.

http://twitter.com/ZivGuy/status/574273364908466178/photo/1

Meanwhile Dagan claimed that Netanyahu’s policies have been leading the country down the road to an “end of the Zionist dream.” He also criticized Netanyahu’s Operation Protective Edge, which saw seven weeks of Israeli bombardment and ground operations in Gaza against Hamas militants last summer which resulted in the deaths of over 2,200 Palestinian people, mainly civilians, and some 70 Israelis.

“We paid a heavy price in blood for a campaign that ended in zero – zero deterrence, zero diplomatic achievements. It was a campaign that only set us back and set in motion the countdown to the next round of fighting,” Dagan said.

The retired general’s grocery list of criticisms also touched on other aspects of Israeli foreign policy and major pressing issue on home front.

“Under his watch, our relations with the United States have deteriorated to unprecedented depths,” he said. “Our health system is collapsing. The housing crisis has reached new heights. The socioeconomic gaps continue to widen. The distance between the poor, rural areas and the Center has never been greater. One of every three Israeli children is poor. Forty percent of Israelis can’t make ends meet.”

Israelis go to the polls on March 17, in a vote in which right wing Prime Minister Benjamin Netanyahu is seeking a fourth term in office.

On Friday a number of polls showed that Netanyahu’s Likud and Isaac Herzog’s Zionist Union parties are neck and neck.

A Walla! poll gave the Likud and the Zionist Union 24 seats each but said that Netanyahu is better placed to form a majority coalition, Times of Israel reported. An Israel Hayom survey produced similar results, showing Likud and Zionist Union at 23 seats each, while A Maariv poll put Zionist Union slightly ahead at 24 seats, with Likud at 22.

Source:http://rt.com/news/238745-ani-netanyahu-rally-israel/
 
Mambo yanavyokwenda Israel ni matokeo ya Prophesies zilizotabiriwa miaka mingi iliyopita,nilikuwa najiuliza ni kwa nini Waisrael wengi sana wanarudi Israel kwa kasi ya ajabu,wengi walikuwa wakiishi Ufaransa,ujerumani na Russian,kuna kitu kinakuja hapo mbele labda hii vita ya tatu au kuna kingine,kwa ujumla Dunia imekaa kwenye angle mbaya sana
 
Obama administration and White House must have funded the protest KWA jinsi aliyomvunjia Obama heshima.Lakini ukiona kiongozi anapingwa na Millitary chiefs,Spy chiefs,Ex Millitary Chiefs, Ex spy chiefs and War Veterans basi huyo kiongozi ana matatizo.Hivi Yule aliyekuwaga Israel Pm Ariel Sharon aliyewekewaga sumu aliishia wapi?Israel cannot dare to risk it's relationship with Washington kwa sababu ya kajitu kamoja Netanyau ukizingatia walivyo na maadui wengi mimi mwenyewe nikiwa siwapendi for killing innocent Palestinians & so many people.
 
U.S hana rafiki wa kudumu, Netanyau alijifanya jeuri kwenda kulia kwa Republican lakini hakujua kwamba harudi tena kwenye uongozi,..Putin amenyooka sasa hivi hadi kaamua kushusha mshahara wake kwa 10%....Iraq Mmarekani ananufaika napo ndo maana hawezi ruhusu vita ipigwane kienyeji..
 
Mambo yanavyokwenda Israel ni matokeo ya Prophesies zilizotabiriwa miaka mingi iliyopita,nilikuwa najiuliza ni kwa nini Waisrael wengi sana wanarudi Israel kwa kasi ya ajabu,wengi walikuwa wakiishi Ufaransa,ujerumani na Russian,kuna kitu kinakuja hapo mbele labda hii vita ya tatu au kuna kingine,kwa ujumla Dunia imekaa kwenye angle mbaya sana

The first beast of revelation 13 is upon us .......!!
 
Mambo yanavyokwenda Israel ni matokeo ya Prophesies zilizotabiriwa miaka mingi iliyopita,nilikuwa najiuliza ni kwa nini Waisrael wengi sana wanarudi Israel kwa kasi ya ajabu,wengi walikuwa wakiishi Ufaransa,ujerumani na Russian,kuna kitu kinakuja hapo mbele labda hii vita ya tatu au kuna kingine,kwa ujumla Dunia imekaa kwenye angle mbaya sana
Imani potofu,hakuna cha prophecy wala nini,hiyo ni kawaida ndo dunia ilivyo na itavyokua na ilivyokua.
 
Sasa hawa jamaa wanalalamika kuwa netanyahu amesababisha umasikini na maisha kupanda,si nilisikia waliahidiwa nchi ya maziwa na asali,ama ni longolongo?
 
Amezidi ubabe na Republican wake zake. Anafikiri ulimwengu wa leo unahitaji watu kama yeye kumbe watu wanataka amani na upendo

tumekua tukisema hapa,netanyahu si mtu mzuri,ni muuaji tu kama alivyokua hitler,watu wanapaniki,sasa natumaini mmejionea wenyewe,mpaka hadi aliekua bosi wa mossad anasema utawala wa netanyau unamtisha kuliko hata hao majirani zao,sasa mtu wa kawaida inatakiwa kushituka
 
Mashoga na Bendera yao ya Rainbow aka Upinde wa Mvua au rangi za upinde wa mvua.

Hawa jamaa wanaibadili dunia taratiibu. Wamempa Urais Obama na sasa wanataka kuibadili Israel. Ni sheedah Mwana wane.

o-TEL-AVIV-900.jpg
 
Meir Dagan spymaster wa Mossad dah umenikumbusha kitambo sana mkuu! Dunia ya waarabu haitamsahau huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom