uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,041
- 8,644
Wananchi wengi wa Gaza wanapaza sauti kuwa wamekuwa wakiibiwa chakula cha msaada kinachotelewa na magaidi wa Hamas.
Kina mama na watoto wamehojiwa na kusema Hamas huvamia chakula cha msaada na kukimbiza kwenye mahandaki na kuwaacha wao bila chakula.
Ikumbukwe israeli kwa huruma kubwa imekuwa ikiruhusu msaada wa chakula,mafuta na maji kuingia gaza lkn magaidi ya hamas yamekuwa yakitumia upenyo huo kufanya udanganyifu.
Je, magaidi ya Hamas yalianzisha vita bila kuwa na hifadhi ya kutosha ya chakula?
Credit: The telegraph