Raia wa Gaza wamerudi kuwa wakimbizi tena baada ya kurudi Gaza. Na Hamas wanazidi kufyekwa kila siku

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,250
Reaction score
26,639
Raia wa Gaza wamerudi kuwa wakimbizi tena baada ya kurudi Gaza. Na Hamas wanazidi kufyekwa kila siku.

Siku zote wamama na watoto ndio wahanga wa vita. Ukisikiliza vilio vya wamama katika clip hiyo unaweza ukalia machozi. Mmoja ameshuhudia mume wake na watoto wake wawili wakipasuka vipande vipande kwa bomu toka angani wakati wakiwa wanakimbia.

Kukimbia nchi kwa kujinusuru sio uoga

Hamas na waislamu wenye msimamo mkali wanawapotosha wana Gaza kwa kuwaita mashujaa na wakiwataka waendelee kukaa hapo ili wakabiliane na Israeli. Wanawaambia hayo huku wao (Hamas) wapo kwenye mahandaki na wengine wamevaa baibui. Toka Israeli imeanza misheni, Hamas wote wametoweka gafla. Na washirika wao naam waislamu wenye itikadi kali wao wapo Facebook, instangram, youtube wakiwatia moyo watu wa Gaza lakini hakuna hata mmoja anayethubutu kujiunga na Hamas, wapo mbali wakilalamika. Hawa waislamu wamesahau haya;

1) Mtume wao alishawahi kukimbia Maka na kwenda Madina ili kunusuru uhai wake dhidi ya makureshi. Akiwa huko akajipanga dhidi ya maadui zake. Kitendo hiki kinajulikana kama Hijra. Hivyo mtume hakujitoa muhanga.

2) Mtume wao baada ya kuona mateso makali ya Waislamu huko Maka aliwaombea hifadhi Ethiopia, na wakakimbilia huko na wakarudi wakati Muhamad amepata nguvu. Hivyo Muhamad hakuwaamuru wajitoe muhanga ili wapate mabikira 72. Trump aliwaombea watu wa Gaza hifadhi huko Misri na Jordan, Hamas na nchi hizo zikagoma. Lakini Djboot na Somali land zimekubali kuwapokea watu wa Gaza. Lakini sijui kama wana Gaza watakubali.

3) Mtume wao hakuwachokoza makureshi bali alijilinda pale alipovamiwa na akafanya nao mikataba ya amani huku akivuta subira ya kujikusanyia nguvu. Hamas ni wachokozi, wanaanzisha wao na wanashindwa kumaliza bali wanamalizwa wao na raia wao.

4) Musa alipoona Farao anataka kumuua alikimbilia Midian na alirudi Misri akiwa na nguvu.

5) Yesu ambaye wanamwita nabii Isa, yeye na wazazi wake walikimbilia Misri kuifadhi uhai wao baada ya Herode kutaka kumuua Yesu akiwa mtoto.

6) Yakobo ambaye wanamwita nabii naye alishawahi kukimbilia Syria baada ya kuona kaka yake anataka kumuua.

Hivyo kulinda uhai kwajili ya manufaa ya mbele ni hekima. Lakini kutaka kupambana na adui anayekushinda silaha, nguvu, pesa ni kukubali kujiua. Na hapo utahukumiwa na Mungu kama umejiua. Suleman alisema hivi;

Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia.Mit 27:12 SUV

Hamas ni wajinga na watu wa Gaza wamelevywa na mvinyo wa ujinga wa Hamas, sasa wanakinywea kikombe cha damu. Na hawawezi tena kukimbilia kwa Wapalestina wenzao huko Ramallah (west bank) maana hawapatani.

Kujidanganya na kudanganywa

Wapalestina wa Gaza wana sifa za ubishi na kibri, hadi wanawadharau Wapalestina ambao wapo chini ya chama cha Baath chini ya Mahamud Abbas. Wanawaona kama wasaliti. Maana wao waliamua kuacha vita dhidi ya Israeli na kuanza kutafuta njia ya suluhu kwa amani. Waliona hawana uwezo dhidi ya Israeli. Hivyo kukawa na utengano ambao umevuka mpaka hadi katika ndoa.

Hawaoani. Watu wa Gaza waliondoa chama cha Baath na kujiweka chini ya Hamas ambao msimamo wao ni vita na kauli mbiu yao ni Israeli "iangamizwe" katika ramani ya dunia. Msimamo huu unaungwa na Hezbollah ambao sasa wamezimishwa, pia msimamo huu unaungwa na Iran na Yemen. Pia msimamo huu unaungwa mkono na Waislamu na Waarabu wenye itikadi kali. Hawa walishangilia Hamas kuua Wayahudi 1400 bila kuzingatia matokeo yake, lakini sasa wanailaani Israeli kwa kuua Wapalestina wa Gaza 50,000+, majeruhi 100,000+ na wakimbizi 1.5 Milioni.

Hivyo Hamas na washirika wao wapo radhi kuwatumia raia wa Gaza kama ngao yao ya kisiasa ili wapate huruma ya kimataifa. Naona hawakukaa chini kufikiri kwamba katika historia yote ya mapambano Israeli inafanya ipendavyo na hakuna wa kuizuia. Na walishasema wazi kwamba ukiua Myahudi mmoja wao watafidia kwa watu 100. Hivyo must ufikirie mara mbilimbili ukitaka kupigana nao.

Swali la kujiuliza, toka Wapalestina wameanza kupigania uhuru wao kwa mtutu wa bunduki, wamepata faida gani? Maana toka 1948 hadi sasa (miaka 77) Wapalestina zaidi ya milioni mbili wapo uhamishoni na wamezuiliwa kurudi kwao. Na idadi yao inazidi kupungua maana wanazidi kuuawa kila siku na kufukuzwa katika makazi yao. Lakini wale Wapalestina wa Ramallah wanaishi vema na wengi wao ni waajiriwa katika serikali ya Kiyahudi na wengine wameoleana na Wayahudi.

Kupewa sifa za kijinga

Baada ya Israeli na Hamas kupatanishwa chini ya usimamizi wa Marekani, Misri na Qatar. Hamas na washirika wao wakatangaza ushindi, kwamba Israeli imeshindwa vita. Na zaidi wakawataka Wapalestina wa Gaza warudi Gaza kwa amani kuijenga huku hela hawana. Wakaanza kurudi kwa wingi katika Gaza iliyoharibiwa na kuwa kama shamba kwa 60% na ikiwa ni magofu kwa 40%.

Trump alisema kuishi Gaza ni kama kuishi kuzimu, hivyo wana Gaza wawe na subira ili Gaza ijengwe na warejee baada ya miaka 5 lakini Hamas na washirika wao waligoma. Mkataba wa amani ulikuwa ni kubadilishana mateka. Hivyo mchakato ukaanza chini ya usimamizi wa UN, na Hamas wakaanza kuwatoa wafungwa wa Israeli kwa madaha. Walibadilishana wafungwa 600 kwa mfungwa 1 wa Israeli. Israeli iliachia zaidi ya wafungwa 6000 huku Hamas ikiachia 10 tu. Wakaambiwa watoe wafungwa wote, wakagoma kwamba hawaiamini Israeli na kwamba wapo tayari kwa vita kama Israeli itachukua hatua vinginevyo.

Majibu yake

Trump akawaambia basi kama mtakataa kuwatoa wafungwa wote wa Kiyahudi basi Gaza itakuwa kuzimu mara mbili zaidi. Netanyahu akapewa kibali na USA kuanza tena kuishambulia Gaza. Hadi sasa viongozi wa Hamas 8 wameuawa pamoja na raia 1000+ na wana Gaza wameanza kukimbia tena Gaza na kushuka katika mpaka wa Misri. Zaidi Israeli imepeleka vikosi vyake kuitwaa ardhi yote waliokuwa wameiachia kulingana na mkataba ule wa amani. Na wameapa hawataiachia tena Gaza hadi Hamas waangamizwe wote. Sasa wameshachukua 60% ya Gaza.

Usalama pekee

Huu ni wakati wa wana Gaza kuwakataa Hamas na kuchagua njia ya amani. Wakifikiri kwamba watasaidiwa na Waislamu ama Waarabu ni kuidanganya. Waarabu wapo bize na ujenzi wa nchi zao, na wapo bize kujenga makasino, magorofa na kununua team za mpira na kuwaita wasanii wa Marekani kuwaimbia. Hawana mpango na Gaza zaidi ndio wanaboresha biashara na Israeli. Na kama wataitumainia Iran kama mkombozi wao ni kama kumtegemea Fisi akuokoe mkononi mwa Simba.

Najua pia gesi ya Gaza ni moja ya mtafaruku, wawachie Wayahudi ili wao waendelee kuishi. Maana hata wakiikatalia ni kazi bure, tayari wameichukua kibabe na ndio wanayoiendesha bandari ya Gaza na kudhibiti ukanda wote wa bahari. Kuingia na kutoka kupo katika usimamizi wao. Huduma za kijamii kama umeme, maji, internet, na chakula zinaendeshwa na wao. Juu ya sakata la gesi nitakuja kuelezea hili kwa hupana zaidi.
 
Hongera mkuu
Umefafanua vizuri ni moja ya makala Murua kabisa
 
Nime

Nimeku_subscribe mkuu nipate maujanja
 
Back
Top Bottom